@Sativa255 Nimejitutumua mwanangu nikastake high na mimi nikamuamini Ecuador,spain na Germany cha kushangaza shoga kidawa Ecuador kapeleka paipuuuu kwa mkekaaa wote

@bonifacejoseph_ Kaka maelezo yako ya mwanzo yakikuwa direct 600k ni ndogo hukusema eti kwa kuanza hilo neno halipo. Cha kukusihi tu piga kazi kwenye iyo iyo 600k ya mwamba inaweza kukutoa Dar ukamfanyia delivery na ukalala Dodoma .

@bonifacejoseph_ Weeee chalii yangu unaelewa neno utumishi afu uwe na above 500k take home na afya +kitita cha uzeeni + access ya mikopo anywhere
Kijana wangu pole na hakikisha huo uwinga unakutoa