"Hakuna mtu anaeweza kusimama katika nafasi yako zaidi yako mwenyewe "
Maneno ya mwendazake alipokuwa akiwaasa waasi wasiojua utulivu na usikivu
π VISIT NJOMBE
RULE NUMBER 6 REMEMBER TO SMILE πΉπΉπΉ
@babalao__ Mwamba namkubali sana kwa content anazotengeneza nyingi ni za nje hata lugha anatumia kingereza kuliko kiswahili thus why anatamba sana nje kuliko ndani wabongo wengi hatupendi waigizaji wanaotumia lugha za kigeni na wanataka content nyingi za mapenzi na upuuzi mwingine