@kikotiofficial I think ni suala la utamaduni tu..kuwa sio vizuri kula mnyama anayekula nyama kama nyinyi..itt sound weird..though kuna sehem wanakula had simba
@MsBrown_Tz Wanasema inategemea na jinsi mali ilivyopatikana. Kama mali zilipatikana wakti wapo kwenye ndoa hata kama mwanamke haluwa na kibarua ila ni mama wa nyumba, mume akifa lazima fungu lake apewe ambayo ni 50%, lakini pia kama familia ameiacha haina chanzo chcohote cha mapato yaan ali