Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa.
CCM sijui mmemuelewa Makamu Mkiti Chadema? Msimamo.ndio huo na ni wa vikao vya kikatiba bila shaka umejieleza vyema.
Chadema "focus" ibaki kwenye agenda za chama. Free Tundu Lissu, katiba mpya na nchi kugeuzwa gulio la mafuta kwa wahuni duniani.
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma.
Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa.
Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya.
Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti. Tusiache ajenda hizi zipotezwe na mijadala pembeni; tubaki kwenye mstari huu hadi malengo yetu yatimie.
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
Tujifunze kitu hapa!!
Kwenye haya maisha unapofanikiwa
(Unapo-Win a goal) mtu wa kwanza ku-celebrate naye hakikisha ni mke wako au baby mama wako au mpenzi wako!!
Big lesson from JDC& Lopes❤️
Wanaowaambia watu wasiandamane wasiishie tu kuwapa madhara ya maandamano hayo.
Bali wawape majibu ya sababu na agenda zinazowafanya waandamane!
Ukiwaambia tu madhara tena kwa vitisho haitasaidia, wanaweza ogopa kwa muda mfupi na kesho wakayapanga tena.
Lakini ukiwapa majibu ya kueleweka ya agenda zao wataachana na maandamano!
It’s that simple
"Jeshi la Polisi tu ndio waliopiga picha katika chumba alicholala marehemu Suez Dani Maradufu, wengine walizuiwa kupiga picha, tukakubaliana zisitoke, chakushangaza picha hizo zimesambazwa na Jeshi la Polisi mitamdaoni." Mhe. @amanigolugwa
My brother SC Tundu AM Lissu back in court for his staged treason trial. Rallying behind him all the way. Killer Samia Suluhu is trying so harder to implicate him, but been more than a year of failure. VIVA President Tundu LISSU!!
🌎🇨🇻 OFFICIAL: Cape Verde are OUT of the 2026 World Cup.
One of the most emotional, beautiful, proud teams to see in history of this competition.
500k population, a big heart. What a game, what a team.
Umetimia mwaka mmoja tangu Diogo Jota afariki kwa ajali. Rafiki yake mkubwa yaani Ruben Neves aliyecheza naye Porto, Wolves na timu ya taifa anavaa jezi no. 21 iliyokuwa ya Jota, kwenye World Cup hii. Kocha wa Ureno amesema wanataka washinde hili kombe kwa ajili ya Jota.
Pole sana Mhe @HecheJohn. Uso wako unaonyesha uchungu na maumivu uliyobeba moyoni.
Mungu ndiye mfariji na tumaini letu na tumaini halitahayarishi.
Iko siku maumivu hayo yatakwisha kwa maana hakuna kidumucho chini ya jua Mungu ndiye mratibu wa mambo yote na kwa nyakati zote.
Wapo watu wanaishi kwa kutafuta makofi, na wapo wanaoishi kwa kusimamia dhamiri zao. Kwangu, Tundu Lissu ni mmoja wa watu wanaochagua dhamiri kuliko urahisi. Unaweza kukubaliana naye au kutokubaliana naye, lakini si rahisi kupuuza ujasiri wake wa kusema anachoamini. Hiyo ndiyo sababu ninamheshimu kama rafiki na kama binadamu. Na pia kama Kiongozi wangu.
We shall overcome!