@EsirEid Hasa hawa vibaraka wa Mabeberu ya magharibi kuna watu wanajiona wao niwaislam sahihi kisa kufuga videvu nakukata suruali namashoka bas wanajiona wamemaliza kumbe wamezungukwa bila kujijua wantumikia mashetani yahii dunia ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
@AbuuNyungu Haya nyie mnaojiita waislam Safi mnamsaada gani nawaislam wenzetu kule Gaza?acha propaganda zakipuuzi shia niwaislam hizi ikhtilafu zetu zipo tu tangia enzi ya maswahaba
mm sio shia lkn hawa ndo waislam waliobaki kupigana na dhulma dhid ya Uislam nawaislam Duniani