VIDEO:
Rose Masesa ambaye ni Dada wa Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu amewataka watanzania kupuuza taarfa ambazo ameziita za uzushi zinazoenezwa na mwanaharakati Mange Kimambi๐บ๐ธ @mangekimambi kuwa dada huyo kuwa amekuwa akishirikiana na Godbless Lema @godbless_lema na sasa anaishi hoteli ya Sea Cliff kwa miezi miwili wakifadhiliwa na Abdul Ameir mtoto wa Rais Samia kwa ajili ya kumshawishi Tundu Lissu akubali Maridhiano
Akizungumza na Jambo TV leo Septemba 16, 2026 Rose amesema taarifa hizo si za kweli na wanaompa taarifa Mange wanamdanganya kwani yeye kwa sasa anaishi kwa watoto wake waliopo hapa jijini Dar es Salaam na hajawahi kuishi wala kufika Hotel ya SEACLIF HOTEL na hajawahi kukutana wala kuzungumza na mtu anayeitwa Abdul wala Rais Samia kwa kuhusu kesi ya kaka yake Tundu Lissu
"Sikutegemea sasa na sisi kama familia tutaanza kuingizwa kwenye tuhuma ambazo hazina ukweli kazitoa wapi hakuna anayejua" amesema Rose
Hata hivyo amesema ni msimamo wake yeye binafsi na wa familia yao kuwa hawatoweza kumsaliti Lissu kwa vyovyote.
"Tupo pamoja kuhakikisha tunamtia ndugu yetu moyo anapotuona mahakamani sio kwamba hatuna kazi" ameongeza
Haya yanatokea ikiwa kwa zaidi ya mara mbili Mange Kimambi amekuwa akizungumza na kuandika kwenye mtandao wa X tuhuma hizo.
"Dunia nzima inajua kuwa Lissu hana shilingi 100, sasa nani anailipia familia ya Lissu kuishi Sea Cliff kwa miezi mitatu?. aliandika Mange.
@maestrowafact Chura CDM ni taasisi kubwa sana...fanya namna uwe unafuatilia msimamo wa chama na sio hatma ya chama kwa wanaharakati walio nje ya nchi unakoseaheshima CDM..
๐๐Ndo uone sasa kutenda haki kulivo kugumu pande zote mbili!!
Tusilaumu tu mbogamboga.
Tukipishana mawazo na makada wa ccm wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!!
Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!๐๐
Hapo kuna tofauti gani sasa?๐
Mulemule tu Nasoro na Cholo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi(Sugu) @TheRealJongwe ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuonyesha kukiunga mkono zaidi ya mitandaoni na kukiunga kwa kutokea kwenye matukio yanayokihusu chama ikiwemo kwenda mahakamani kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu.
Sugu ametoa wito huo leo kupitia Instagram yake akisisitiza kuwa kama kesi hiyo ingekuwa inasikilizwa kwenye Mahakama za Mbeya basi watu wangefurika kuliko ambavyo wanajitokeza kuifuatilia.
"Ni sawa na ni vizuri tunakipenda sana chama chetu @ChademaTZ2 and WE appreciate much for your support. Lakini sasa tuwe zaidi ya mitandaoni basi, tutoke ground/field ikiwemo kuja Mahakama Kuu kwenye kesi kubwa ya uhaini ya Mwenyekiti wetu LISSU. Hii kesi ingekuwa Mbeya hakika Mahakamani pasingetosha. Kesho saa tatu asubuhi tukutane mahakamani, kila siku hatuzidi hata watu 200 na wakati hii Dar ina watu 7 millioni sio poa," ameandika Sugu
@Sativa255 Em chalii weka mambo sawa vaa viatu vya Mbowe hapo alf ujiulize hao watanzania waliokua anawatetea wako wap mmemfanyia nini huoni ni nyie wananchi hamtaki mabadiliko akiitisha maandamano mnaandamana mtandaoni tuu reality hamna kitu wewe lini umeappear public?
@mangekimambi Ukweli mmoja ni kwamba haitakiwi utofauti wa ki mawazo na Mange atakachosema ndio hicho hicho sio sawa.
Ila achana na lema mnatuvuruga focus na mambo mengine Lema ni joint muhimu sana CDM na harakati za Tz kuacha kumsikiliza na nikusikilize wewe ni ubabe ambao haufai wewe kua nao
@YerickoNyerereT Bro najua unaelewa Lema ni nani so unachofanya ni kujisumbua pambana na CHAUMA.unamuita mwenzako mlamba asali na wewe ni mla sukari alf wewe ni nani CDM hutambuliki ulisaliti harakati kwahiyo kaa kando tuletee CHAUMA onair tukujue kupitia CHAUMA ...
@Nasibu_255@NjiwaFLow Kwanza mange ni content creator kitu unafaa ujue atafanya chochote ili apate engaging sasa wewe njoo na mwili akili utaikuta huku mtandaoni mku.