Mashabiki Wakiongelea Soka Kwa TV, Story Nyengine Kweli Baadhi Kamba @eastafricatv Kila Jumamosi Saa 5:00 Asubuhi. @ecejay Na WEWE Ndo Host! Lock In! #ShabikiOS
Leo ni LEO pale Emirates Stadium. Arsenal anataka kijidhatiti KILELENI na UNITED wanataka kukaa juu ya Newcastle 😃, NANI ATAFANIKIWA na LAKE?
#BetNaBetway kwa game hii na nyengine ya kesho kati ya Fulham na Spurs.
Nakukumbusha ku bet KISTAARABU.
@BetwayTanzania
Sote tunajua kwamba SHAMRASHAMRA za KOMBE LA DUNIA zimeshika HATAMU. Sisi wa Betway HATUKO nyuma hata kidogo. Kuna shilingi LAKI TANO KILA SIKU ambayo kuna mechi na KUBASHIRI michezo hiyo ni BUUUUREEEE…
Episode 20 : ANAMEREMETA
Feat Ms @CarolNdosi USIKU wa LEO itakapo timia SAA TATU KAMILI kwenye @DStv_Tz
Mimi na rafiki yangu tunaongea kuhusu maisha, majukumu, marafiki, situations, biashara na kukua pamoja na mengi. Nakusihi ukipata wasaa basi usiache KUANGALIA.
Jumamosi hii wakati unasogeza mambo yako kidogo kidogo pata na kampani kutoka kwa @Lameckditto. Hii ni #SalamaNaDitto na link ndo hii…
https://t.co/xzOoOr0Drh
Tafadhali enjoy.
Ushawahi kujua story ya @MalkiaroseM inayohusu makovu yake ya mkononi? Nini kilitokea? Kwenye maongezi haya anaelezea kuhusu hilo na mitihani mengineyo alowahi kupitia… Here’s a link https://t.co/dCOxAz4ocG
Tafadhali Enjoy!
Ushaangalia #SalamaNaAshaBaraka akiongelea Kaka zake ambavyo wamemsaidia kwa kiasi kikubwa kuwa MWANAMKE wa SHOKA ambaye amekua miaka nenda miaka rudi? Kuhusu vipaji na kujitunza kwake?
A must watch!!
Here’s a link… https://t.co/AoqNRDP2Kp
Go on…
😀
@YahStoneTown
Missed #SalamaNaDrCheni kwa Tele? Here’s a link ya Podcast kwaajili yako… Kwa watumiaji wote wa Android na iOS…
Tafadhali Enjoy.
Hatupoi… Ki UFUPI.
https://t.co/0PDf243WI0
@YahStoneTown @SlideDigitalTZ