Nafurahi kuona Vijana wa #Tanzania wakipata fursa za kupata ajira rasmi kwenye michezo nje ya nchi. Natamani ifike mahala Timu zetu za #Yanga na #Simba ziwe na idadi kubwa ya wachezaji wa ndani maana ni njia ya kupelekea Vijana nje ya nchi. Hongera Novatus Dismas & @ShadakaSports
Congratulations to our client Novatus Dismas, Novatus Joined Maccabi Tel Aviv and he will play in the youth team. @ibrinho26@MaccabitlvBC@shaffihdauda1
Leo nimeingia mkataba na kampuni ya kusimamia wachezaji ya Shadaka Sports Management, baadhi ya vijana nitakaowatafuta watasimamiwa na Kampuni hii ya uwakala inayotambulika na TFF, lengo ni kusaidia vijana katika njia sahihi.. @2official6 @shadakasports
Leo tumeingia mkataba na kampuni ya Kusaka vipaji ya Nizar Scouting Group baadhi ya wachezaji watakaotafutwa na kampuni hiyo moja kwa moja watasimamiwa na kampuni ya Shadaka Sports. Hii ni katika kuhakikisha tunawafikia vijana wengi kadri tuwezavyo @nizarkhalfan16 @ibrinho26
Novatus Dismas Miroshi
First Match��
90 Mins Completed🏋🏽♀️🏋🏽♀️
Clean Sheet😁🙏🏾👌🏽
First Win 👍🏽✅
Great Passing Rate 89%🎯
Box to Box 📦
Heeeey he is just 17👩🏼🦲