Ameanza kutishia kuita press tokea weekend. Rudini kwenye posti zangu za jana. Niliwaambia tokea jana kuwa the whole weekend alikuwa anawatishia watu wa Chadema kuwa anaita press kusambaratisha wananchi na chama.
Kabla hata sijatoa story zake za asali jana tayari alikuwa ameshatishia kuita press ili awakoroge watu.
Na nna mengine ya biashara yake mpya nilitaka kuwapa asubuhi hii ila naomba nisubiri kwanza hiyo press yake nione kama ata address hii biashara yake ambayo amewajibu watu wa CHADEMA this weekend “NI biashara yangu binafsi, haihusiani na chama”.
Aanze hiyo press kwa kuia-dress hii biashara kabla mimi sijaja kuwapa hii issue.
Na pia kwenye hiyo press aambie umma kuhusu mkutano wa online uliofanyika weekend na speech aliyotoa ya tuhuma kali na chuki dhidi ya Heche. Alitafutwa mpaka padre wa TEC kuwapatanisha Heche na Lema, Lema akatoka kwenye mkutano after 45 mins akawaacha solemba baada ya kusema kuwa Heche sio level zake.
Nina full details. Nataka nione what he will address and what he will leave out kwenye hiyo press. Then nije kuwa fill in what he left out.
Na issue ya kuishi sea cliff, sio 2 months, it’s 3 months sasa,Na anakaa same floor na kaka na dada wa Lissu. The whole of Tz knows Lissu shingi 100 hana, sasa WHO IS PAYING FOR FAMILIA YA LISSU KUISHI SEA CLIFF???? WHO IS PAYING FOR LEMA KUISHI SEA CLIFF FOR 3 months now? He better address this kwenye hiyo press.
Wamewaweka familia ya Lissu sea cliff, under uangalizi wa Lema ili Lema ahakikishe hakuna watu wengine wanaongea nao na pia awarubuni jinsi ya kumshawishi ndugu yao abadilishe dhamira yake ya kukaa jela mpaka haki ipatikane. Wanaitumia familia yake kumshawishi aokoe maisha yake kwa kwenda kufanya maridhiano na muuaji wa Watanganyika au kama hataki kabisa kufanya maridhiano basi aachiwe then ahame nchi aache siasa, then kila kitu kitakuwa taken care of for the rest of his life.
Issue ni dipu…………