@Monalisandala1 Siasa isikupe maneno ya kuongea ukapoteza utu,ni bora ukanyamaza kuliko kuweka historia Kama hizi ,utakapofikia wakati wa kurejea hizi kumbukumbu hasa kwa mambo yanayo kuhusu wewe utaumbuka,watu wenye Nia njema wameomba kuchanga kwa upendo Ila siyo ulivyo tag Siri wewe
@nulphin@muhimbiliuniver@muhasso1 Unafaidika na nin juu ya kumharibia maisha huyu binti ,Anandoto zake na familia inamsubiri sasa kuteleza kwake isiwe sababu ya kuharbu maisha yake