Ijumaa hii kwenye #GAME ya Uyui FM @MediaUyui live Nitakuepo saa 6-8 mchana.Hosted by @Nativebase Music by djshappa
#burudanimabegani @ Tabora, Tanzania https://t.co/U9bFwXc9sy
Rest in peace grandma😔😭😭 Nenda salama mke wangu ni ngumu kuamini lakini sina jinsi. Moyo unaniuma sana tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi nenda salama Bibi mongi najua nitakuona tena. Ahsante mungu kwa kila… https://t.co/iQ9tQ5pBLy