Top Lawyer, Top Leader, Top Character!
Umeshinda hujuma za dola kuongeza ushahidi wa ziada ktk kesi ya uhaini.
Jaribio hilo lilikuwa afterthought, baada ya kupiga chini 100% ya ushahidi wao.
ONYO: Muachieni au njooni awavue nguo tena!
Free Tundu Lissu Now!
I'm really proud of this dude. He's a rare gem in our ongoing liberation struggle. He's gone above and beyond, and he keeps pushing forward with incredible perseverance. Mungu linda huyu mwana mwema. Sisi tunakuamini Wewe na ahadi zako. Na hakika zitatimia!
Ni miezi 9 tangu Samia Suluhu auwe maelfu ya watu Oktoba 29 ‘25 akijilazimisha kuwa rais.
Mauwaji ya kihistoria.
Ni miezi 9 ya maumivu, mateso, huzuni, uchungu na majuto kwa Watanzania.
Tunasisitiza uwajibikaji.
RIP to the fallen heroes!💔
Hii ni picha ya CCTV ya watu waliokuja kunifuatilia nyumbani kwangu.
Wameulizia nyumba yangu, na baadae wakaondoka bila hata kutaka kuingia au kueleza kwanini wanatafuta nyumba yangu.
Tumefuatilia hiyo gari na kugundua kwamba namba za usajili inazotumia sio namba halisi..
Namba hizo T318 EQJ ni namba zilizosajiliwa kwa magari ya kulima barabara sio namba za Land Cruiser hardtop hiyo.
Polisi wanapaswa kutuambia hao ni kina nani na nia yao hasa ni ipi kwangu.
Hatutakubali kuishi kwa hofu kwenye Nchi yetu.
Mambo ya aina hii yanaweza kuingiza Nchi kwenye hatari kubwa sana .
Watanzania sisi tutafanya kazi yenu bila hofu, msikubali kuona viongozi wenu wanatishiwa.
“Nikiulizwa mimi makamu wa Rais kwamba nina jambo gani moja tu la kuwaambia Watanzania, mimi nitawaambia pambaneni mpate Katiba mpya. Katiba yenye makubaliano ya wadau wote, inayojali maisha ya mtu na inayoheshimu haki za raia wake” Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi.