Jamaa wa 9-5 sahii kazi ni kuuliza bibi kama amekumbuka kuongesa maji ya ugali sababu ndio watabeba kesho na mayai. Bwana this economy has no room for masculinity
@Kamau266 Kuna wakati kuku zangu zilikuwa zinakufa kila siku.
Supper ulikuwa unaingia kejani unapata kila mtu akona kuku yake full.
Ilikaa mbaya hadi bro mdogo akauliza 'na kwani hatutawai kula mboga'. Ilikuwa mbaya nanii.
I don’t want books written by AI, I want books written by alcoholic Russian novelists on the brink of a mental collapse from depression, that’s how God wanted it.