Home
Language
English
TΓΌrkΓ§e
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Shilatu News
@ShilatuNews
Journalist | Political Analyst | Social Media Manager
Tanzania
Joined September 2016
363
Following
36
Followers
173
Posts
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Taarifa ya Daktari Muhimbili imeeleza kuwa Kijana Said aliyetobolewa macho na kibaka Scorpion hawezi kuona tena
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Shirika la Ndege Tanzania limetangaza kuwa ndege mpya aina ya Bombardier kuanza rasmi safari Oktoba 15 mwaka huu.
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Serikali yamvua madaraka Mkuu wa Sekondari ya Mbeya Kutwa kwa kufumbia macho ukatili dhidi ya mwanafunzi.
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
*NIPASHE Imebainika kuwa sekta ya afya ndiyo inayoongoza kuwa na watu wenye vyeti bandia
Who to follow
Shaali
@babi_057
Ford Maestro
@4dmaestro
ICT, Data management, Graphics Design, Entrepreneur.
MBARALI BOY ππ πΎπͺπ
@KipandeDi
well determined & fucused minded, Universty of dar es salaam, blues fans,into the badland one and last, @dizastavina best MCEE of all time
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
*NIPASHE Serikali imeanza kupunguza deni la ndani la taifa kwa kutoa bil 96 kutoka ktk mapato yake ya miezi miwili
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
*MWANANCHI PPRA yapendekeza ofisi ya Bunge, TCRA zichunguzwe na TAKUKURU baada ya kuonyesha viashiria vya rushwa
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
*MTANZANIA Bandari ya Dar es salaam imetangaza kufungua milango kwa meli kubwa zaidi kutia nanga katika bandari hiyo
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alivyopokelewa leo 30/9/2016 wakati anahamia Dodoma.
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#Miaka52JWTZ
"Jeshi lijipange kuanzisha viwanda ili kutimiza azma ya serikali ya kuwa nchi ya uchumi wa viwanda"-Rais Dkt. Magufuli
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#Miaka52JWTZ
"Pesa zilizotakiwa kutolewa kama duty free kwenye maduka ya jeshi zitapelekwa kama posho kwa wanajeshi wote"-Rais Dkt. Magufuli
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
*MTANZANIA Imeelezwa kuwa Pato la Taifa limeendelea kukua kwa 7.9% ktk kipindi cha mwezi April hadi June 2016
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#MTANZANIA
Utafiti wa REPOA umeonesha kuwa, madaktari na walimu wengi nchini hawana weledi na ujuzinkatika kazi zao
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Rais Dkt
@MagufuliJP
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Septemba 29 Ikulu jijini Dar es Salaam
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Ofisi ya Takwimu yaonyesha pato la taifa limeongezeka TZS 11.7 trilioni katika robo ya pili ya mwaka 2016 kutoka TZS 10.9trilioni mwaka jana
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#UzinduziWaNdege
Tungenunua ndege hizi kwa kulipa polepole, tungekuja kulipa gharama kubwa, ndio maana tumelipa zote- Rais
@MagufuliJP
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#UzinduziWaNdege
Lakini unaweza ukajiuliza, ndege hii imetoka Canada imefika hapa, watu wanasema hazina spidi, ni bajaji- Rais
@MagufuliJP
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
#UzinduziWaNdege
Ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Dar- Mwanza- Kigali- Bujumbura tayari tenda zimetangazwa- Rais
@MagufuliJP
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Shimon Perez aaga dunia. https://t.co/ZKqxvbct1e
Bloomberg
@business
almost 10 years ago
Obama joins leaders in mourning the death of Israel's Shimon Peres https://t.co/sP4BqPHPpl
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Jeshi la polisi limewakamata watu 22 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CUF kwa tuhuma za kukutwa na silaha ikiwamo mapanga, majambia na visu.
Shilatu News
@ShilatuNews
almost 10 years ago
Maiti iliyozikwa wilayani Chunya imeibwa na baadae kukutwa imetelekezwa ikiwa haina miguu- MWANANCHI
Last Seen Users on Sotwe
Girls periscope
Seen from
Turkey
DEDE Gemes
Seen from
Malaysia
Purnima kapoor
Seen from
Switzerland
EL BooBππ
Seen from
Egypt
π Ψ§ΩΩΩΨ΅Ψ± ΩΨΩΩ Ω ΩΨΩ Ω ΨΨ§Ψ±Ω Ω ΩΨ§ Ψ―ΩΩΨ«π€΄πΏ
CARDEL HARD
Seen from
Netherlands
Akman - TΓΌrk amatΓΆr seks videolarΔ± GΓΌncel!
Seen from
Turkey
Ψ§ΩΨ³ ΩΩ1
Seen from
United Kingdom
Burak Mert
Seen from
Turkey
Futa Cumπ¨π΄
Seen from
Indonesia
Trends for you
1
#lunareclipse
Under 10K tweets
2
Norway
Under 10K tweets
3
#adultsfx
Under 10K tweets
4
HIP HOP PHILE
Under 10K tweets
5
Rod Wave
Under 10K tweets
6
Mapquest
Under 10K tweets
7
#BTS_WORLDTOUR_ARIRANG_CHICAGO
Under 10K tweets
8
Premium IPTV
Under 10K tweets
9
Wilson
Under 10K tweets
10
Ty Simpson
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.5M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
113.8M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.2M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.6M followers
7
NASA
@nasa
92.4M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.7M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
89.6M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
83.6M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
75.1M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
72.8M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.7M followers
14
YouTube
@youtube
68.8M followers
15
Neymar Jr
@neymarjr
65.8M followers
16
Bill Gates
@billgates
64.9M followers
17
Selena Gomez
@selenagomez
62.7M followers
18
The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers
19
CNN
@cnn
61.8M followers
20
X
@x
60.7M followers
Olivia
Online
β¨
β
π«