@tanescoyetu@furaham7 Naitwa Shilinde Malyagili, ni prospective new customer wenu, naishi Kahama, Manispaa ya Ilemela,napenda kufahamu process ya kuhamisha fomu kutoka ofisi 1 kwenda nyungine huchukua muda gani?
@MariaSTsehai Poleni sana Maria, nilimfahamu Jacob since anasoma Pamba Secondary-Mwanza kpnd hicho na one of my cousins ( The Khamesses') baadae nikaja kutana nae pale AGC, am pretty much saddened. Mungu ampe pumziko la milele
Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally leo tarehe 3 Disemba, 2019 ameshiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Kendwa. Dkt Bashiru amewapongeza wanachama wa Tawi hilo kwa juhudi na moyo wao wa kujitolea, amewaunga mkono kwa kuchangia mifuko 100 ya sementi ili kukamilisha ujenzi wa Ofisi hiyo.
#UjenziHospitaliyaWilayaYaIlemela umefikia hatua ya lenta zoezi la upauaji litaanza wiki ya kuanzia 20.05.Jumla ya majengo 7 ya awali yanajengwa ambayo ni jengo la Utawala,stoo ya kuhifadhia dawa,wodi ya wazazi,maabara,jengo la mionzi,jengo la kufulia na jengo la wagonjwa wa nje