Kuna shida kubwa DICD -ICD inachukua zaidi ya week kutoa mzigo. Nilianza process tangu 24 Nov,mpaka leo 30 Nov sijui lini mzigo utapakiwa kwenye truck. Bandari safi,TRA effiecient sasa mizigo inachelewa ICD @WizarayaUC@TRATanzania@tanzaniaportshq@CloudsMediaLive
@SimbaSCTanzania Hatuna DM wa maana kwa sasa. mipira inapita kati kati wanakaba kwa macho tu. Tusajili DM kabla ya dirisha kufungwa bila ya hivyo October tutapigwa tena
@SimbaScInBlood@bvrbvra@salim_tryagain @CrescentiusMag1 @ahmed__ally @RabbiHume Kama Viungo wakabaji bado hawa hawa, Hatutoboi kokote. wafanye usajili mapema kabla dirisha halijafungwa. October itakua aibu Kubwa kufungwa tena na Uto...
It was great to greet H.E President @SuluhuSamia of Tanzania and her delegation on the sidelines of the Spring Meetings in Washington D.C. Grateful for Your Excellencyโs attention to challenges confronting @WTOโs efforts to help with the food crisis including humanitarian aspects