Maisha Bhana kuna mtu anahitaji 50000 tu atatue changamoto zake, kuna mwingine Laki, Mwingine 1M, mwingine 5M, mwingine 10-100M, Hatafunani shida πMtu akikwambia anapitia wakati Mgumu Financially usichukulie poa.
Sijui ndio kukua au kuchanganyikiwa na maisha.
Kuna umri unafika hata kuomba namba kwa mwanamke unaona jau, au unaweza ukaomba na ukaisave na usimtafute.
Kiufupi kuna umri hata kutongoza tongoza ovyo unaona kama unajidharirisha hivi.
Kichwa muda wote kinawaka moto π
π¨ Most penalties taken in:
- Champions League history: Messi
- World Cup history: Messi
- A single World Cup: Messi
- La Liga history: Messi
π¨ Most penalties missed in:
- Champions League history: Messi
- World Cup history: Messi
- LaLiga history: Messi
"Penaldo" π€
Advance suala la kuchanganyikiwa ni kugusa tu.
Siku ya kwanza tu ndio mnaingia darasani unashangaa kuna mwamba hizi vitabu anaanza kuvisoma katikati page ya 437 na anasolve fresh tu na hamjafundishwa.
Hapo kama una roho nyepesi unaenda zako HGL tu mambo yasiwe mengi.