Leo nimepata fursa ya kushiriki katika mkutano muhimu ulioandaliwa na Ubalozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania, ukiongozwa na Mheshimiwa Balozi Tri Yogo Jatmiko, uliolenga kuimarisha ushirikiano wa biashara, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kati ya Indonesia na Tanzania.
@godbless_lema Zaburi 90:10 iliandikwa na Daudi. Na alisema hivo kwa sababu aliishi maisha ya vita wakati wote wa utawala wake hivo kwa namna moja au nyingine alikuwa ameanza kukata tamaa .lakini Mpango wa Mungu ni sisi kuishi miaka mingi sana sana na hata bila ukomo inawezekana.