"Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity."-- Martin Luther King, Jr. [Assasinated 50 yrs ago today]
Ufunuo wa Yohana 2 : 10
" - Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima......"
SALAAM ZA PASAKA TOKA GEREZANI
Na Joseph Mbilinyi(SUGU)
"Wana Mbeya wenzangu ni utamaduni wetu kusherekea na kutafakari PASAKA tukiwa pamoja lakini leo nawatakia heri ya pasaka nikiwa katika kuta ndefu za gereza la Rwanda" Ashukuliwe Mungu Kwa yote .
Ufunuo wa Yohana 2 : 10
" - Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima......"
HILI NALO NENO TOKA UKURASA WA FACEBOOK WA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA
Acheni uzushi wa kiimani. Hapajawahi kuwapo mashindano kati ya Mungu na Kaisari. Kusema "vya Mungu mpe Mungu na vya Kaisari mpe Kaisari", haina maana ya usawa wa hao wawili. Kipi cha Kaisari si cha mungu?
"Nimepata taarifa yakuwa Spika wetu #Job_Ndugai yupo hospital nchini #India nitapita kumjulia hali kabla ya kurejea Nyumbani Tanzania".
#Tundu_Lissu March 21,2018.
#NUKUUYASOKOINE:Katika nchi inayojali haki na usawa, Majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi" - Edward Moringe Sokoine, 1Februari 1977