Anhaa Kbbk Oyaa Dizasta vina aliua sana kwenye Tukusa Chamber 3)IV
Sasa tukusa chamber 3)V yupo mzee mzima mkali wa hizi kazi @Solothang_ aka_ulamaa Anhaa kbbk mkubwa kamaliza kila kitu.
Black ninja na ile midundo yake atengwe mamae ๐๐๐ค
Sichekicheki hata ukitania man hii verse record heavy ona aubebi hata kwa scania.
anha skiza tenzi motomoto nimevuzu sitichiki na hizo kesi ndogondogo
ma MC na verse za uwongowongo longolongo skiza tenzi kama mkongo wa gesi ya songosongo #ny#ko
NO BODY IS SAFE 2 ๐๐๐
Kuna ile move ya #ClamVevo Inaitwa big boss kuna somo kubwa.
Lipo mule namna ya kuyaendea maisha.
Tamaa mbele mauti yapo nyuma yanakuja wanangu tupige kazi.
Usitamani cha mtu watu wana siri kubwa na vitu vyao.
Ijumaa Kareem ๐
Mungu alimpa nafasi Israel awe malaika mtoa roho, lakini alimnyima Nabii Mussa kuwa mtoa riziki
Kama tunadhani kifo ni fumbo,
Basi kupata na kukosa kwetu ni zaidi ya mtihani.
Imefichwa siri kubwa sana kwenye kupata fungu letu.
Ndio maana, kifo kina tafsiri ya mwisho wa riziki.
Eid Mubarak kwa wafuasi wangu wote Waislamu duniani kote! ๐๐
Je, una siku iliyobarikiwa iliyojaa sherehe na familia na marafiki. โจ
Usisahau kuwa mkarimu kwa wengine. ๐คฒ๐ผ
#eidmubarak I #happyeidmubarak
Inakuja siku, Wasiotujua, majibu ya Dua zetu wataita BAHATI.
Wasiotufahamu, matokeo ya jasho letu, watasema TUNABEBWA.
Wasiotupenda, riziki itakapokuwa upande wetu baada ya msoto, watahusihanisha na USHIRIKINA.
Wasichokijua ni Mungu ndie aliyeshika kalamu ya ndoto zetu.๐
Yupo mwanamke anaishi na hatia ya kumpa baba mtoto asiye wake, ili mwanae aishi vizuri.
Ni sababu za kiuchumi na dhiki kuu
Ni ukweli uliokaa kwenye chumba cha siri mno cha moyo wake,
Kila usiku analia, nakusali sala ya toba, ataibeba hii dhambi mpaka kufa kwake.
Anaitwa Mama.