@Simelamadawa@PresenterNoah Usenge wake ni upi ndg mjuaji...angalia maendeleo yaliyopo Jimbo la uyole ndo uropoke..mfano, barabara zote zilizopo jimboni kwake zina Rami na taa..ofisi za serikali za mitaa ni mpya zimejengwa, anatoa misaada ya wahitaji jimboni kwake unataka afanye Nini zaidi
Vibe la Jamii ya kabila la 'Wahadzabe' wanaoishi porini na kutegemea uwindaji kutoka Ziwa Eyasi Arusha wakicheza ngoma ya 'Fashion' ya Chino Kidd.
Muziki umewafikia sasa wana enjoy tu 🙌
#EastAfricaTV#TogetherTunawakilisha