VIDEO:
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikibainisha ubadhilifu na matumizi yasiyo sahihi ya fedha za umma, lakini wahusika hawachukuliwi hatua za kisheria, hali inayochangia kuendelea kwa upotevu wa fedha za Serikali.
Amesema Bunge lina wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha watu wanaotajwa katika ripoti hizo wanawajibishwa kwa mujibu wa sheria, badala ya kuendelea kuzichukulia hoja za CAG kama jambo la kawaida (business as usual).
Ametoa kauli hiyo wakati akichangia hoja za kamati mbalimbali za Bunge la 13, Mkutano wa Tano, akieleza kuwa kutokuwapo kwa uwajibikaji kwa waliohusika na ubadhilifu wa fedha katika miradi mbalimbali ya Serikali kunatoa nafasi kwa vitendo hivyo kuendelea.
Ado ameshauri Bunge kutumia mamlaka yake kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo ya CAG na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua, akirejelea sakata la ESCROW kama mfano unaoonesha umuhimu wa Bunge kusimamia uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Leadership is more than holding a position; it is a continuous journey of learning, upholding integrity, building bridges across political differences, and creating meaningful impact in society.
Leadership is not about the position you hold, but the knowledge you gain, the integrity you uphold, the bridges you build across political differences, and the impact you create in society.
#Leadership#PYPA2026#GoodGovernance
Honoured to have participated in PYPA 2026, organized by KIC Sweden, with engagements in Uganda and Kenya. The experience strengthened my commitment to democratic governance, principled leadership, and meaningful youth participation in decision-making.
#PYPA2026#Leadership
Baba is the GREATEST PRESIDENT Kenya never had. One year on and we all miss you. The country, especially now, misses you more than ever. Continue resting in power my friend, @RailaOdinga.
My tribute to The Enigma, Rt. Hon. Raila Amolo Odinga.
With courage and determination, we continue your legacy of democracy, social justice and electoral integrity.
@Reforms_Ke@UGMParty
As National Chairperson of Youth, I remain committed to promoting dialogue, unity, and meaningful youth participation in national affairs. I believe that leadership is best expressed through service, mutual respect, and a shared commitment to the aspirations of our people.
In addition, State House Nairobi is the most expensively run in Africa by taxpayers, and President Ruto of Kenya is the second most corrupt president in the world. Know your continent...✍️🏾
HAPPY NYERERE DAY 🇹🇿
As young leaders, let us honour his legacy by putting our nation first, serving our people with humility, and building a Tanzania founded on justice, dignity, and shared prosperity.
#NyerereDay#TanzaniaKwanza#YouthLeadership#UmojaNaUzalendo
I sincerely appreciate the confidence and recognition extended to young leaders by H.E. the Vice President. As National Chairperson of Youth, I remain committed to dialogue, unity, and meaningful youth participation in national development. Trust is an honour.
#sautiyavijana
Pongezi Ndugu Christiana Denis kwa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Chamwino kupitia NCCR–Mageuzi tarehe 11 Oktoba 2026! 🇹🇿🔵⚪
Tunakutakia kila la heri katika safari hii ya uwakilishi wa wananchi kwa demokrasia, hoja, umoja na uwajibikaji.
Tanzania kwanza! Umoja wetu.
Rushwa ni uti wa mgongo wa umaskini. Inaiba fursa, inaua ndoto na kuhatarisha mustakabali wa vijana wa Afrika Mashariki.
Vijana, inuka! Kataa rushwa, dai uwajibikaji.
Our voices. Our future. Our responsibility.
#YouthAgainstCorruption#EastAfrica#YouthLeadership#pypa2026