Kama utani vile, ila ndio msimu wa 2025/2026 unaisha hivyo ila Mvp wa ligi hii huku mogadish msimu wa 2024/2015 hajatangazwa wala kupewa tuzo,. hakika ni za kwetu🚮.
@belindaPINDA01 si kama mnavyoonaga walet zetu zikiwa zmetuna bas na milio yenu inaongezekaga mdada hata kama hajui kukata kiuno akishaona kibunda baaas kiuno kitakatwaa
CHANDE’S REPORT: A MERE COINCIDENCE OR GOD’S IRONY?!
Kama kuna mtu alikuwa anahitaji ufananuzi wa Kwanini Watu wanasema “Hatutaki CCM”, “Samia Must Go”, na “Serikali Haramu”, basi ripoti ya Chande ni kielelezo tosha.
MOJA, Mtuhumiwa Mkuu ndio anaunda Tume; same way miaka yote CCM haijaleta maendeleo sustainable ila imeendelea kushika Madarakani.
MBILI, wajumbe wa Tume kuwa na “Conflict of Interest”; sawa na wanaotuhumiwa kuwa Mafisadi na Wabadhilifu ndio wanaunda Serikali kila siku. Yule Tax anawezaje kuwa objective? Kweli Paul Makonda ni Waziri after proving how unethical & inhumane he is huko enzi za Magufuli?
TATU, Hadidu za Rejea zilikuwa hazi address REAL ISSUE, bali zinakwepa accountability na ku-undermine atrocities walizofanya; sawa na namna Ilani na Mipango ya CCM imekuwa Hayatekelezeki, Uongo na Propaganda. Yaani ni real life version ya Wimbo wa Prof Jay wa “Ndio Mzee”. Kila uchaguzi Wanakuja na ahadi ya kuleta hiki na kile as if Utawala uliopita hawakuwa wao na hawakutenda.
NNE, Siku 90 za Kazi hazikutosha na zikageuka 160, na bado kazi ikaja mbovu; sawa na jinsi utendaji wa serikali za CCM ume-prove kuwa Incompetent. I mean ingawa serikali ya sasa ni haramu, ila hata wao ukiuliza siku 100 za kwanza wamefanya nini, HAKUNA zaidi ya kufanya birthday party Kizimkazi, na kubadilisha baraza la mawaziri na kutoa matamko tu.
TANO, Tume kutoa Takwimu na Taarifa za Uongo; ni sawa na viongozi wa Serikali kutuongopea kila siku. Yaani mtu anasema “video za mauaji zilikuwa ni za Gaza”. Haina tofauti na Rais anasema “Bei ya Mafuta ya Tanzania ni ndogo kuliko Marekani”, au Mwigulu anavyodai “Wanalipwa Kuvuruga Amani”.
TUME was a disgrace from day one, but now it came with results that are insulting our intelligence, and proving how inhumane & disregarding they are, to human life, rights & decency. Wameaibisha Profession, Legacy na Integrity zao. KILA WALILOFANYA NA KUSEMA LIMEAKISI NA KUSHABIHIANA NA SERIKALI YAO HARAMU. Bahati yao Mbaya ni kwamba Watanzania sio Wajinga tena… MTAJUTA KUTUSOMESHA!!
The Leader
Mwandishi: "Una ndoto ya kushinda Kombe la Dunia au UEFA siku moja?".
ANTONY: "Hizo sio ndoto, hayo ni malengo. Nilikuwa na ndoto moja tu maishani--kuwatoa wazazi wangu kwenye umasikini na sikuwa na mbinu mbadala. Ilikuwa lazima nifanikishe jambo hilo au nife nikiwa najaribu"