Kama nilivyowaambia jana, kimama anaenda kuwabebesha wapinzani wake nje ya CCM na ndani ya CCM kesi za kushiriki maandamano ya October 29, na ataitumia hiyo tume yake ya mchongo kufanikisha…..
IGP, jana saa nane mchana, John Pambalu alisafirishwa kutoka Arusha kwenda Dar es Salaam. Hadi sasa, mawakili wetu wako Kituo cha Polisi Kati wakijaribu kufahamu alipo, lakini bila mafanikio.
IGP, ni sababu gani inayofanya Jeshi la Polisi kuwa kimya kuhusu mahali alipo John Pambalu?
Kama amesafirishwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi, ni kwa nini taarifa za mahali alipo zinakuwa ngumu kupatikana hata kwa mawakili wake?
Ukimya huu unazua maswali mengi yasiyo ya lazima, unaongeza wasiwasi na kuleta taharuki ambayo ingeweza kuepukwa kwa kutoa taarifa zilizo wazi.
Very unnecessary tension and noise. Why ?
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop 💣 moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
‼️🚨MONEY LAUNDERING FILMED IN #Tanzania ‼️🚨
According to @mangekimambi , whisteblowers have sent her footage of money (US dollars) millions being packed for shipping
This CRIMINAL gang allegedly includes @SuluhuSamia ‘s son Abdul, the infamous Zimbabwean Chivayo, Suluhu’s friend and Defence contractor Angela Kizigha
The whistleblower has sent receipts of transactions and also has rrvealed that this gang is involved in illicit arms deal - refer to the @TheJusticeDept case that involves fake Tanzanian army documents
This is very concerning
The State of #Tanzania is captured by a criminal cabal!
#NoReformsNoElection is not an option!
Nyie! 🧐
Kwa nini kimama kilishindwa kumpokea balozi wa Marekani hapo Ikulu Dar jana kama jana alipokea ya mabalozi wengine? Yaani mmetumia pesa za hazina kulipa MABILIONI makampuni ya lobbyists in the US mpate access ila kimama kimeshindwa kupokea hati ya balozi wao?
Shida mlimtoa kwa nguvu kimama naona nguvu ilimwishia ilipofika kwa herufi U kwenye ABC ikabidi akimbizwe kupumzika 😁
Alafu @millardayo hajaweka hii habari ya Balozi wa Marekani kupokelewa na Mahmudi!
Shida mmezoea uongo na ulaghai ila Mungu anawaumbua
Nasema #TutaelewanaTu
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Kwa umri wanguu huu nimebahatika kuishi nchi tatu mpaka sasa Tanzania, Kenya na England. Ninachoweza kusema nilichokiona kwa politicians wa bongo wenyewe wanapopata nafasi sijui huwa wanahisi hawatokufa huwa ni watu ambao wanajisahau sana.Ase Tupendane wakuu nothing is permanent
@SecRubio@StateDept The son of the Tanzanian President and family are directly involved in this……
What Maduro was doing is what is happening here…..
Jamani nilipowaambia kuwa serikali ya TZ imewapa kazi Mexican Cartel wanimalize nilikuwa sitaniiii. Wana direct relationship na Mexican Cartels.
Nawaambia Watanzania, kinachofanya mimi bado nahema hadi sasa ni kuishi Marekani tu , ningekuwa nchi ingine yoyote dunia ningekuwa nishazikwa zamani sana, kama sio Mexican cartel basi besti yao Putin angepita na mimi.
Mexican cartels kuua mtu ndani ya Marekani kwenye kipindi hiki cha Trump inabidi wajifikirie mara mbili maana jamaa kapeleka kikosi Mexico wanawasaka usiku na mchana sasa imagine wauwe mtu ndani ya Marekani kwa niaba ya serikali ya Tanzania. Balaa lake sijui…….
Hata Putin kuua mtu akiwa ndani ya Marekani ni ngumu mnooo, huwa anawaulia Europe huko ila ndani ya Marekani ni never.
Like I said sasa hivi nikitoa mguu nje ya Marekani inabidi niwe extra careful.
I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand.
Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyika…….
Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewa……..
Msikubali kutumika kama condom
"The danger is not simply that #Tanzania is becoming more authoritarian. It retains courts, commissions, disciplinary bodies... The question is whether these institutions constrain power or increasingly serve it. That distinction matters." #FreeTunduLissu
https://t.co/GBIHlBVRSJ