Hapo Newcastle midfield Yao ina mtoto wa miaka 18 kutoka Uholanzi na Miley miaka 20, lakini TASAF wanarukaruka wakiwa na Witz chezaji la €150m na Isakwisa wa €140m
🚨🔴⚪️ BREAKING: Arsenal agree deal to sign Ezri Konsa from Aston Villa, here we go!
Fee agreed at £50m plus add-ons and long term deal in place with English defender.
Konsa will undergo his medical in next 48h then signing in at #AFC — follows @TheAthleticFC.
Arsenal want to win the trophy, and they start Noni Madueke and Christos Tzolis from the Belgian Pro League.
Manchester City is going to enjoy this, an easy win for Enzo Maresca’s boys.
Unju @nikkizohan anahoji kwanini waigizaji 'A List' Irene Uwoya, Wolper, Aunty Ezekiel na Kajala Frida kupandishwa jukwaa la Miaka 30 ya BongoFlava.
#PlanetBongo
The permanent disabilities suffered by so many young people following the events of October 29 raise serious questions of accountability. The government must be called upon to account for its conduct and any resulting harm.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli yake aliyoitoa wakati wa Tamasha la Kuwafikia na Kuhamasisha Jamii Dhidi ya Dawa za Kulevya, ambapo alivitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika baadhi ya Showroom za Magari ili kubaini iwapo zinatumika kutakatisha fedha zinazotokana na biashara ya dawa za kulevya.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mtangazaji Maulid Kitenge, Mapunda amesema kauli yake haikulenga kuwashutumu moja kwa moja Wamiliki wa Showroom za Magari, bali kuhimiza Mamlaka husika kufanya uchunguzi pale panapojitokeza viashiria vinavyohitaji ufafanuzi.
#KitengeUpdates
Aliyo pitia Ni mazito , inahitaji ukosefu wa Nsoni kwa kiwango chalami kudhani haya yatapita bila kukaachini na kutatua changamoto zilizo sababisha October 29
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁