📍Dar es Salaam
(1/2) Leo, Meneja bima za Benki (ZIC); Hamida Juma, amemtembelea Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Limited, Tido Muhando kwa ajili ya kutoa pole kwa Uongozi na Wafanyakazi wa Azam TV baada ya ajali iliyotokea siku ya jumapili ya tarehe 13/02/2022 Mkoani Iringa.
Jukumu la kuulinda mjengo wako tuachie sisi @zic_znz Majanga yatokanayo na moto, kimbunga au mafuriko hayabishi hodi. Jilinde kwa kukatia Bima unachokithamini zaidi na ZIC.
#BabaLindaMjengo#BimaNaZIC
(1/2) Leo tumeshiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama ambapo kitaifa yanafanyika Jijini Arusha.
Huku mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.
Unapokata Bima unakua na amani ya moyo na kuwa huru kufanya mambo mengine ukijua Zanzibar Insurance Corporation itakufidia pale utakapopata Majanga.
#bimanazic#BabaLindaMjengo
Lile vibe La Kutoboa Nchi nzima linaendelea. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima La Zanzibar Ndugu @Arafat__AH akiteta Jambo na Kaimu Postamasta Mkuu Macrice Mbodo @posta_tz#bimanazic#TumetoboaNchiNzima
Shirika La Bima Zanzibar tumejikita katika kutoa Bima kwa wakati. Fidia utolewa kwa wakati na kwa mujibu wa sheria.
Chombo chako kipo Salama na Zanzibar Insurance
#BimaNaZIC#zanzibar#Tanzania#Bima#insurance https://t.co/qGsAS7ObrX
Ilinde Familia yako na Mali yako kwa kukata Bima ya Mali zako kama Nyumba, Gari na Mali zingine zisizo hamishika. Bima Sasa na ZIC ni rahis na Salama.
#BimaNaZIC#zanzibar#Tanzania#insurance https://t.co/3lwVw2DdRr
Ni wajibu wetu kukumbusha kukata bima yako kwa wakati. Ni kosa kisheria kutumia chombo kisicho kuwa na bima au bima iliyoisha. Zanzibar Insurance tuna Bima zinazokidhi mahitaji ya mfuko wako wasiliana nasi ukate leo https://t.co/zOc8d5TcHo
Je, Chombo chako kimekatiwa Bima? Kama bado wasiliana na wakala wa Bima au fika kwenye ofisi zetu Makumbusho Dar es Salaam, Zanzibar, Pemba na kwa mkoani ulizia ofis au wakala wa Bima Zanzibar
Ni wajibu wa kila mwananchi kuchukua tahadhari na kuchangia katika kudhibiti kusambaa na kuenea kwa virusi vya Corona #Covid19#CoronaTanzania
Pata dondoo muhimu za jinsi ya kujikinga na virusi vya Corona.
Kwa Msaada piga 0800 110 124 bure