@siadevinci@Nkololotz Ninatamani sana michepuo ya masomo ianzie form 1, badala ya form 5. English na Civics iwe kila mchepuo unasoma kama GS kwa A-level. Mfano mwanafunzi anaanza f1 anasoma PCB + English Language na Civics.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Kwa sasa kwa F1 masomo mama ni 6 ambayo ni English Language, Historia ya Tanzania na maadili, Geography, Mathematics, Kiswahili na Somo la biashara. Pia kuna masomo ya kuchagua kulingana na mchepuo. Mwanafunzi anatakiwa asome masomo kuanzia 8 hadi 10 tu.