🚨René Meulensteen, Sir Alex Ferguson’s former right-hand man, has revealed how he would 'FIX' Manchester United’s tactics and bring back the winning formula. #MUFC
https://t.co/KMLlRCNMg2
Kuna skill ukiwa nazo ni ngumu sana kulala njaa, Mfano
1. Graphic design
2. Website Design & Development
3. App design & Development
4. Social media management
5. Photography
6. Video editing
Ongeza nyingine..
{Ukaja msafara, wakamtuma mtekaji maji wao, naye akatumbukiza ndoo yake...}
Surah: Yusuf. Ayah: 19.
• Hakika msafara ambao ulimtoa Nabii Yusuf (amani iwe juu yake) kwenye kisima, ulikuwa tayari umeanza safari yake kabla Nabii Yusuf hajatupwa ndani ya kisima.
✍️ Mwenyezi Mungu huwa anaziandaa sababu za wewe kupata faraja kabla hata hujafikiwa na matatizo.
Ewe mja wa Mwenyezi Mungu! Usiharakie kumuaibisha mtu yeyote kwa ajili ya dhambi zake huenda akawa amesamehewa.!!
(Maneno ya Imam Ali a.s katika Nahjulbalagha semi no 138)
MILLARD : Unawashauri nini watu wanaopitia shida hivi sasa, unajua kuna watu wana maisha magumu hawana hata pesa ya kula
CHID BENZ: Sasa hapa tunaongea na watu wa mitandaoni ila wenye shida hawana hata simu.
Hili jibu 😂🙌🏽