#TajiriLaKihaya
Ndugu zangu Waislamu, Assalaamu ‘alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh.
Naomba chukua dakika 2 tu, Soma andiko hili maana linakuhusu wewe Muislamu!
Nafaham wewe unaogopa kuyasema haya hadharan, maana unaogopa utaitwa MFIA DINI, mtu Usie na Exposure na unaweza kupoteza Followers wako- Kiufupi unakitu cha kupoteza humu- Mimi Sina cha kupoteza- nitakusaidia kuyasema!
Allah anasema katika Surah Adh-Dhariyat:
‘Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini.’
Ndugu yangu Muislamu, Unapata Furaha gani kuwakejeli na kuwatukana ma sheikh zako?? Kisa tu mmetofautiana mitazamo ya Kidunia?? Tena Hadharani?
Mm ni ANSAAR SUNNA, ila hata Siku moja siwezi kutoka hadharani kuwatukana masheikh zetu wa BAKWATA….
Mwenyezi Mungu anatufundisha katika Qur’an:
“Enyi mlioamini! Mtiini Mwenyezi Mungu, na mtiini Mtume na wenye mamlaka katika nyinyi...” (Surah An-Nisaa, 4:59)
Aya hii inasisitiza umuhimu wa kuwatii viongozi wetu wa dini, na kuwaheshimu kwa sababu wana nafasi muhimu katika kutuongoza kwenye njia ya haki- HAKI YA KUMJUA MWENYEZI MUNGU!
Kuwatukana, kuwadhalilisha au kuwavunjia heshima mitandaoni ni kinyume na mafundisho haya.
Pia tusisahau mawaidha ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam), aliposema:
"Muislamu ni yule ambaye WAISLAMU wengine wameokoka kutokana na ulimi wake na mikono yake." (Bukhari na Muslim)
Kuna Uchochezi mkubwa saana unatoka kwenye dini zingine- ili kutufanya na sisi waislamu Kujichukia ,kuchukia ma sheikh zetu na kuuchukia Uislamu wetu kama ambavyo wanavyouchukia wenyewe NA Hii yote wanajificha kwenye SIASA!
Allah anasema katika suratul al Baqarah;
“Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate MILA YAO. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.”
Ndugu Yangu muislamu hata siku moja Usiyafanye mambo ya kidunia,mali,Siasa nakadhalika Yawe juu ya imani yako ya UISLAMU!
Hebu jiulize mifano hii;
Viongozi wa RC wanaonekana kuwakaribu saana na CHADEMA, JE, umeshawahi kumuona mkatoliki Halisi aliopo CCM akiwatukana viongozi wao???
Juzi tu kiongozi wao kashambuliwa- wote bila kujalia Itikadi ya Siasa zao - waliungana kupaza sauti!
Wanachadema wangapi ambao wameshambuliwa na huwa kimya?? Hujiulizi tu? Kama maslahi ni Utu?
Wenyewe wanalinda Dini yao, viongozi wao kwa Wivu mkubwa mno- alafu sisi wanatuchochea kimya kimya - Tuone viongozi wetu Hawafai!
Alafu baadae watakaa pembeni- watucheke waislamu tunavyochukiana na kugombana wenyewe kwa wenyewe!
Jiulize, SIMBA na YANGA Kila mtu anafaham viongozi wa timu zote ni wanachama kindakindaki wa CCM- lakini mbona bado wanazipenda timu zao? Mbona hawajazisusia? Mbona hawatukani vilabu vyao? Viwanja vinajaa kila siku!
Jiulize, wanamuziki wote maarufu, ni wanachama wa ccm na wanaenda mikutano yao… na hata wanatumika ili kujaza mihadhara yao! Mbona wakiitisha show wanaenda? Mbona hawasusi? Mbona wanastream nyimbo zao na zinatrend mitandaoni!
Tena ukisema Ney wa mitego/ Roma aliopo kwenye harakati ni mwanamziki bora kumzidi Diamond/Ali kiba aliopo ccm- wanaharakati hao hao wanaweza kukuua kwa matusi😅😂
Yote hii ni KWA SABABU wametofautisha/wametenganisha MIZIKI,MIPIRA na DINI zao na SIASA!
Ndugu zangu waislamu, kwani wewe leo ndio umeifaham BAKWATA?
Mbona kwenye mambo ya dini mengi tunatofautiana? Muandamo wa mwezi, maulid,kufuga ndevu, kwenye swala zetu nk.
Ndio ije leo uone utofauti kwenye SIASA ni bora kuzidi utofauti kwenye SUNNA za mtume wetu muhammad SAW??
Ndugu zangu waislamu, niitwe mfia dini sawa- ila andiko langu limewalenga waislamu na kuwaomba tuache Chuki baina yetu na Tupendane…
Kinachotuunganisha ni
"La ilaha illallah muhammadur rasulullah"
Mitazamo kwenye mambo ya Siasa yasikujengee chuki kwenye Ma sheikh zako na Uislamu wako!
@HazzoMajani45@fintanjr_ Nilikuwa bonge sana but Kuna mtu nilikutana nae kaniambia vitu mpka sasa nimekata weight sana
1. Acha kabisa any kula,kunywa asubuh Yan mlo wako uanze saa 7 mchana
2.chakula cha usiku kula mwisho iwe saa 1 na nusu usiku isifike saa 2 usiku
3. Tembea jion kama 6km
@SLello47 Sasa umewahi kuona wapi… MSIBANI watu wananunua nguo?
Nyie mpo msibani…
Sisi Iddi ni sherehe…
Kabla sijasahau…
Pole saana kwa msiba huu mkubwa… wale wote waliohusika na kifo hiki- tutawaua wote
BUNGE limeipongeza Serikali na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, kwa kuchukua hatua za haraka kurejesha mawasiliano kwenye barabara ya Kusini.
Akizungumza bungeni leo, Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema hatua zilizochukuliwa za kurejesha mawasiliano
Vijana wengi huukaribisha umasikini pale wanapotumia akili nyingi za kimasikini kuhoji vyanzo vya utajiri kwa waliofanikiwa, Hawahoji kwa lengo kujifunza bali katika chuki zaidi, Hawajihoji vyanzo vya umasikini wao na kuchukua hatua kujiondoa katika umasikini huo.
Sheikh hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuona mambo ya mtu kesho .
Only Allah ndo mweny kujua kesho yetu na vitu vya mficho.Achana na huo mtego wa ushirikina
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu
Mwaka 2015 kwenye gazette la serikali bumbuli ilitambulika kama wilaya na mwaka 2019/2020 ilifutwa hadhi ya wilaya kutokana na makusanyo madogo ya mapato.
Mkoa wa Tanga una wilaya nane na halmashauri 11 kwahiyo wewe uko halmashauri ya bumbuli na sio wilayani si ndo hivyo?