@CharlieBihemo Kwa hiyo watoto chini ya miaka mitano hawana haki ya kupata Bima, what is this?
Watoto hadi wafikishe umri wa kwenda darasa la kwanza ndio wapate Bima?
Tunahitaji #Katibampya inayoTENGA na kutofautisha MAMLAKA ya Rais kutoka Mamalaka ya Mahakama na ya Bunge.
Katiba yetu haifanyi hivyo.
Rais ni EMPEROR anamiliki kila kazi na mihimili yote 3.
SSH kachagua Spika na Jaji Mkuu.
Nana kati hawa watamfunga paka kengele?
@ayubu_madenge Offer ya Liverpool ilikubaliwa na Club ya Brighton baada ya hapo mchezaji pia ana uamuzi wake,aende au asiende,mchezaji kakataa kwenda Liverpool anataka Chelsea
@drmlalukoMD Hivi kwa mfano mtu ameoa wana miaka 10 hawajabarikiwa mtoto, huyu mtu unampa ujumbe kama huu ? Hakuna kuchelewa kwenye hii dunia, kila mtu anapata kwa wakati muafaka
@MichaelMwebe@Deutsch_Queen Hapana hii haina uhalisia, Manchestor United tickets za mechi ni kama 100,000 uwanja unaingiza mashabiki zaidi ya 60,000 ukipiga hesabu utajua income yao kwa mechi moja ni kiasi gani
CRDB hadi wakusanye buku buku za charges etc sio wa kuizidi Club kama Manchestor