Ukiona upo na amani, umeridhika na mazingira na mifumo uliyopo ndani yake ujue wewe si mtu mkuu. Watu wakuu wanaletwa Duniani ku-challenge status quo(hali/mazingira yalivyo) na kuleta mabadiliko ya mifumo.
Men,
Learn a skill & monetize it.
Make money.
Don't accept the " thank you" message without pay.
"Thank you" will never secure your future.
Listen or perish.
#RemainAman
Watu waliozaliwa tarehe 1,10 na 19 naturally ni viongozi na uongozi utawafata kokote pale kwenye kila aspect watakayokuepo.
Wanapenda kuwa juu kwenye chochote wanachokiishi na ni watu wenye kupenda mambo makubwa kupitiliza.
Viongoz wakubwa wengi duniani wamezaliwa hizi tarehe.
Top interview tips - how to handle interview process step by step explanation - Tag your friends who needs this and don't forget to share your tips in the comment with your experience
Unaapa na kuji promise utaanza kesho.
Tomorrow comes. Siku inaenda na MAJI.
Wiki inaisha, unajisemea ili upate a fresh new start, utajaribu tena Monday, maana wiki hii ina sikukuu.
Ghafla 1 year goes by.
Life has some amazing plans for you and your family. Refuse to give up.
“How much should we pay you/how much do you want us to pay you)?”
Kama umeshawahi ingia job interview bila kujua kiasi unachotarajia kulipwa then haukufanya vizuri research.
Tujiulize kwanza kwa nini swali hili huulizwa?. Sababu ni kadhaa;
-Mwajiri anatamani kujiridhisha kama anauwezo wakufikia matarajio yako ya kimaslahi
-Kujua thamani yako; kumbuka wewe ni bidhaa kwenye soko la ajira.
-Kuweka makubaliano ya awali ya kiasi gani utalipwa
-Kujua kama ulifanya utafiti wa kujua mwajiri anatarajia kukulipa kiasi gani, nk.
Taasisi nyingi mishahara ni fixed (zina salary scales ambazo si rahisi kubadilishwa na bargaining power yako kwenye usaili).
Fanya utafiti kwanza; uliza watu. Mishahara kwenye taasisi nyingi inafahamika.
Kama ni taasisi ambayo hauna taarifa kabisa. Tafiti juu ya wastani wa mshahara kwenye industry uhusika.
Interviews ni majadiliano; zungumza usikilizwe mjadiliane.
Kuna baadhi ya taasisi kiwango utakachokitaja kwenye interview kinaweza kushawishi juu ya kiasi gani utalipwa.
Nikiwa najua kwa position ya marketing officer mshahara ni 1.2M. Nikiulizwa ni kiasi ninakitarajia najua kabisa nitacheza around that figure.
However, sishauri usiseme tu 1.2M. You need to justify why 1.2M.
Mfano: “Based on commitment, hardwork and dedication I am expecting to offer to this role, 1.2M would be reasonable“
Baada ya response unaweza kumbana na maswali ya kukutingisha “Vipi tukikulipa laki 6?” You have all the reasons to politely deny the offer ukiwa na imani kabisa hawawezi kukulipa chini ya hapo kwa sababu pengine unajua their salary scales are fixed au kweli unajua hicho kiwango ni unrealistically low kwa kuzingatia gharama za maisha na ujuzi/uzoefu ulionao.
Wapo baadhi ya wasailiwa wanaosema “mshahara wowote“. Don’t fall into that trap. Ni kiashiria cha unyonge na kutokujua thamani yako au kuonesha kuwa wewe si bidhaa bora sokoni.
Admittedly, kama lengo la kutafuta kazi ni kuboresha maslahi kwa kulinganisha na unapotoka na unajua nini unataka kwa kuzingatia thamani yako, waweza pambania kiwango unachotaka (kwa kuzingatia uwezo wa mwajiri kukulipa). Kwa sababu hauna cha kupoteza.
#ElimikaWikiendi
🚨ANGALIZO Siri moja ya ku overtake salama ni kuwa na subira, overtake nzuri haitaki haraka
.
Head to head collision mkiwa speed kubwa ni mbaya sana yani kutoka ni nadra
.
Ukiona huoni mbali tulia, video hapo chini inaonesha impact ya ajali za uso kwa uso angalia utajifunza kitu
Interview Tips
“Why do you want to leave your current job/organization?”
Hili ni swali ambalo unapaswa kulitarajia kama umeitwa kwenye interview wakati ukiwa na ajira nyingine.
Ni kawaida watu kuhama taasisi moja kwenda nyingine lakini ni vyema kutoa sababu ya maana.
Epuka kishawishi cha kuongea vibaya juu ya taasisi unayotaka kuondoka hata kama kuna mambo yasiyokufurahisha au yanayochangia wewe kuondoka.
Focus zaidi kwenye taasisi unayotaka kwenda.
Mfano: I like my current job and the organization I am currently working with but I think my IT skills will be well utilized if I move to your company given the number of challenging IT projects you undertake”
Waweza pia focus kwenye;
-Desire to take on more challenging responsibilities
-Desire to work for a company with a good reputation
-Working with a fast growing company like the one in question, etc.
Si vyema kusema “kwa sababu hapa mnalipa mshahara mkubwa zaidi” itatafsiriwa kwamba ukipata sehemu nyingine kesho yenye mshahara mkubwa hata wao utawatema pia (japo inaweza kuwa kweli).
Kika la heri.
Did you find this information useful? If yes, please retweet.
#TheHR
Interview Tips
“Why should we hire you?”
Kwa ujumla interview yote lengo lake ni kutafuta sababu ya kukuajiri au kutokuajiri. Hii inatoa taswira kwamba swali hili lina linahitaji maandalizi mazuri na ushawishi.
Swali hili linaweza kuulizwa kivingine kama why do you think you’re an ideal candidate for the job, why do you think you’re the best candidate out of the rest? Why are you the perfect match for the job? Etc.
Unapojibu swali la kwa nini tukuajiri siyo sehemu ya kutia huruma. Majibu kama “kwa sababu nmekuwa nikihangaika kupata ajira, sina kipato, kwetu tuko tisa na wote wananitegemea” ni kuonesha unyonge sehemu ya kuonesha ushujaa. Umeitwa kwenye usaili ili wajue namna gani utaisaidia taasisi na siyo wao watakusaidiaje wewe.
Take trouble kujua wanataka mtu wa aina gani then prove that you’re the one.
Mathalani umeitwa kwenye interview ya bank officer, jiulize sifa zipi bank officer anapaswa kuwa nazo, kagua incidents zilizodhihirisha kwamba una hizo sifa then craft your response.
Mfano: I am not only a hard working and skilled person but also self-motivated. I can work well with different types of people both employees and customers. Being a result oriented person led to me being awarded “employee of the month” three times when I used to work with ACB Bank. I am a creative person, I know the industry well and I have excellent customer care skills. A fast growing bank like your definitely needs a person like me.
Ni muhimu kuonesha namna gani una exceptional skills, knowledge na experience kwa ku link na your career achievements.
Did you find this information useful? If yes, please share.
#TheHR
𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮
Je umepoteza simu yako ya Samsung ? Utafanyaje jinsi ya kuipata simu yako ?kwa kuwa simu yako umenunua gharama!! Nitakujuza.
Kupoteza au kuibiwa simu kunauma nyie acheni tena mpya daah !! ebu retweet kisha like tuendelee kujifunza 👇
Hiki ni moja ya kitabu ambacho hakipendwi kusomwa na baadhi kwa sababu ya ukweli mchungu uliomo humu kuhusu pesa.
Na hapa chini ni baadhi ya mafundisho yaliyoko humo.
Men,this weekend buy yourself something new maybe a sneaker,cloth,you can also upgrade your house furniture...rather than spending your money with that hoe you call your girlfriend...she is not yours she is ours!! #MasculinitySaturday
Vyuo vimekaribia kufunguliwa na vingine vimefunguliwa tayari.
Incase assignment za Darasani huwa zinakupa stress, nina habari njema kwa ajili yako.
Kuna tool inaitwa Humata, wewe kazi yako ni kuupload assignments zako zote kisha yenyewe inasolve kila kitu ndani ya dakika chache
Kama una apply kazi kila siku bila mafanikio kutokana na CV yako kuonekana ina udhaifu (huna experience)
Tafuta makampuni yaliyofilisika kama, "Game" au "Nakumatt", alafu andika ulikuwa Manager kwa miaka mi 5
HR wa zamani akipigiwa simu kuthibitisha, hawezi kumbuka wafanyakazi.