Upcoming startup aiming at innovating for peoples with disabilities (PWD's) in response to Sexual Reproductive Health(SRH).
Innovate for disabilities.
Wecare.
Kama jamii tuna uhitaji mkubwa wa taarifa sahihi kutoka vyanzo vinanvyoaminika kuhusu Afya ya uzazi na ujinsia, @SmartCaretz tupo kukuunganishia pale ambapo umekosa taarifa hizo muhimu. amua255 @unfpatanzania… https://t.co/aZyFnPwN0t
These are among the symptoms, Do you have any concern about this? Hiz ni baadhi ya dalili, Unafahamu chochote kuhusu hili? Basi tunao uhitaji wa kuyajua haya zaidi ili kuchukua tahadhari. Stay with us.… https://t.co/60mS86AfdQ
Je, unahamu nini kuhusu magonjwa ya zinaa au magonjwa yanayosababishwa na ngono isiyo salama?? Basi upo uhitaji wa elimu ya kutosha na sahihi juu ya masula haya ili kepuka madhara yanayoweza kujitokeza tunaposhiriki… https://t.co/kLOnr2IuK7
Hello.. We are SmartCare innovators of smart device to assist monitoring of PWD's and others with provision of accredited Sexual Reproductive Helth(SRH) information.
Every family prefers to have proper information… https://t.co/ewXRO3PaAr
Wizara ya Afya Kenya imesema idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini humo sasa imefikia 50 baada ya wagonjwa wengine wanane kuongezeka leo “kati ya wagonjwa hao wanane wapya, sita ni kutoka Nairobi, mmoja Mombasa na mwingine Kitui”
#MillardAyoUPDATES
Jackline Shirima (20) mkazi wa Arusha, amejikuta anakaa ndani tu kwa muda sasa, baada ya kukatwa miguu yake yote miwili kwa wakati mmoja kufuatia miguu yake kuvimba. “naomba nisaidiwe kupata miguu ya bandia, Baba hana hela, namba yangu 0658837529” https://t.co/LTCbwIvPOI
#CORONAVIRUS KENYA: IDADI YA WENYE MAAMBUKIZI YAFIKIA 50
> Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe ametangaza kuwa idadi ya Watu walioambukizwa UGONJWA wa #COVID19 imefikia 50
> Wataalamu wa sekta ya Afya 1,000 kuajiriwa wiki ijayo
Zaidi, soma > https://t.co/n1boDevGVx
#JFCovid19
Kila mwanamke mjamzito hasa walemavu wanahitaji huduma bora za afya ikiwa ni pamoja na taarifa sahihi za afya ya uzazi na ujinsia, SmartCare ndio suluhu za taarifa sahihi na miongozo ya afya ya uzazi na ujinsia. @amua255@UNFPATanzania#innovate4disability#StayAtHomeAndStaySafe
#ARUSHA team, #SmartCare is an electronic bracelet that can track changes on a #PWD body & notify their caretakers through an application accredited #SRH Infos to enable caretaker access quick assistance on medical issues concerning #PWD's @UNFPATanzania#Innovate4Disability
MAREKANI YATANGAZA HALI YA DHARURA KUKABILIANA NA #COVID-19
> Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa #coronavirus pamoja na kusema kwamba hali nchini humo inaweza kuwa mbaya zaidi katika wiki nane zinazofuata
Soma - https://t.co/trM6KYB6RE
#JFLeo
SERIKALI: RAIA WALIONGIA NCHINI KUTOKA DENMARK NA NORWAY HAWANA #CORONA
> Imesema raia 6 wa Norway na Denmark walioingia nchini jana wakitokea Kenya hawana maambukizi ya #coronavirus
> Walitengwa kwa kupelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi
Soma - https://t.co/Zmi6Je2KFf
The phase of the program designed to bring out the best from the already submitted ideas by turning them into #prototypes.
10 teams in 10 days of business and #SRHR training. #Innovate4Disability
https://t.co/rCFuWeUHO0