Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei 19, 2026, kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Pichani Jenerali Mkunda akisalimiana na viongozi m
Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Ulinzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, ambapo leo Mei 19, 2026, makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yatawasilishwa na Waziri wake Mhe. Dkt. Rhimo Nyans
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. *Dkt. Rhimo Nyansaho, (Mb)* amewasilisha hati za randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026 /2027.
Mbunge wa jimbo la Hai saashisha mafuwe ameuliza swali bungeni kwenda kwa naibu waziri kutaka kufahamu serikali imefikia wapi kuanzisha kongani ya viwanda eneo la kilimanjaro Mashine tulizipa pamoja na mji wa kibiashara njia panda ya machame
oe amesisitiza.
Sanjari na hilo, Prof. amemtaka mkandarasi huyo kununua bidhaa za ujenzi zinazopatikana wilayani Lushoto ili kuongeza mzunguko wa fedha kwa wakazi wa wilaya hiyo ya Lushoto.
Pia, Prof. Shemdoe amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kuhak
ujenzi wake utawapatia kipato vijana watakaopewa kazi kwenye ujenzi wa jengo hilo.
โMkandarasi ninakuomba huku nikikuelekeza kwamba, kazi zote ambazo hazihitaji expert wapewe vijana wetu wa hapa Lushoto ili tuweze kutengeneza ajira kwa vijana wetu wa hapa Lushoto,โ Prof. Shemd
u wa Mahakama, Prof. Elisante Ole Gabriel, viongozi wa mkoa na wilaya, watumishi wa Mahakama na wananchi wa Lushoto.
Prof. Shemdoe amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 4.272 kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama hiyo ambapo
ikisha anavikopesha fedha vikundi vya akina mama kupitia mikopo ya asilimia 10, ili vijishughulishe na biashara ya kuwauzia chakula vijana watakaoajiriwa kwenye mradi huo wa Ujenzi wa Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Lushoto.
zo hazihitaji utaalam ili kutengeneza ajira zitakazowapatia kipato ambacho kitainua uchumi wao.
Prof. Shemdoe ametoa maelekezo hayo leo Disemba 31, 2025 wilayani Lushoto, wakati wa hafla ya kupokea eneo la Ujenzi wa Mahakama ya Wilaya ya Lushoto iliyohudhuriwa na Mtendaji Mku
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Tuzo 3 za Utalii za โWORLD TRAVEL AWARDSโ ambazo Tanzania imeshinda, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar
upungufu wa maji ilianza muda mrefu, Serikali iliona na ilianza kutafuta majawabu ya hali hii miaka mitatu iliyopita kwa kujenga miradi mikubwa itakayotoa matokeo chanyaโ.
DKT. MWIGULU AKAGUA HALI YA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA MAJI RUVU CHINI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema
kuwa ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji unaotokana na mabadiliko ya tabia ya nchi, Serikali ilianza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
โMipango hii ya ujenzi wa miradi inayolenga kukabiliana na changamoto ya