Asubuhi Huwa Hakuna Makofi Kuna Majukumu.
Asubuhi haikuulizi ulilala saa ngapi, haijali jana ulikosa au ulilia.
Asubuhi inakuamsha na kukukabidhi mzigo wa maisha.
Watu wengi huamka na ndoto, lakini wachache huamka na nidhamu.
Ndiyo maana wengi hupenda usiku ndani yake kuna faraja,
lakini asubuhi kuna ukweli.
Asubuhi ndiyo kioo cha maisha yako:
kama jana hukupambana, leo inakurudisha kwenye mstari.
Hakuna mtu atakayekushangilia unapoamka kupambana na umasikini,
lakini kila mtu ataona matokeo ukikata tamaa.
Ukweli mchungu ni huu chief
maisha hayabadiliki kwa maombi peke yake,
yanabadilika kwa maamuzi unayochukua kila asubuhi.
Asubuhi njema kwa anayechagua kupigana badala ya kulalamika.
Asubuhi Huwa Hakuna Makofi Kuna Majukumu.
Asubuhi haikuulizi ulilala saa ngapi, haijali jana ulikosa au ulilia.
Asubuhi inakuamsha na kukukabidhi mzigo wa maisha.
Watu wengi huamka na ndoto, lakini wachache huamka na nidhamu.
Ndiyo maana wengi hupenda usiku ndani yake kuna faraja,
lakini asubuhi kuna ukweli.
Asubuhi ndiyo kioo cha maisha yako:
kama jana hukupambana, leo inakurudisha kwenye mstari.
Hakuna mtu atakayekushangilia unapoamka kupambana na umasikini,
lakini kila mtu ataona matokeo ukikata tamaa.
Ukweli mchungu ni huu chief
maisha hayabadiliki kwa maombi peke yake,
yanabadilika kwa maamuzi unayochukua kila asubuhi.
Asubuhi njema kwa anayechagua kupigana badala ya kulalamika.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 163
Anaendelea Mhe. Lissu na cross examination
Watu wanacheka jamaa kuulizwa kama yeye ni mwanaume.๐๐๐
Shahidi wa kificho: Hapa hayapo ili nilihojiwa.
Mhe. Lissu: safi ukisema hayapo unaokoa muda, sasa uliulizwa kuhusu ulikuwa unafanya nini Posta ya zamani Garden na ukasema ulikuwa unaperuzi facebook whatsapp na youtube.
Sasa waeleze majaji kama hayo maneno yapo kwenye maelezo yako uliyonayo mkononi?
Shahidi wa kificho; Whstapp na Youtube hakuna hayajaandikwa hapa na Faceebok na Youtube hapa hayajaandikwa ila nilisema.
Mhe. Lissu: uliulizwa kuhsuu simu yako na ukasema ni smartphone sony experior galax unakumbuka ulisema hivyo?
Shahidi wa kificho: Nakumbuka.
Mhe. Lissu: je hayo nayo yapo kwenye maelezo yako Polisi?
Shahidi wa kificho: Yapo.
Mhe. Lissu: Yako wapi? Mstari wa ngapi yapo?
Shahidi wa kificho: mstari wa tano.
Mhe. Lissu: Haya soma tuone na mimi nakufuatilia.
Mhe. Lissu: Hata kama upo kwenye kiboksi utasema tu. Hayapo tukubaliane?
Shahidi wa kificho: Ila Kweli hayapo.
Mhe. Lissu: Naomba unijibu kama nakosea. Katika maelezo yako yote. Hakuna mahali kokote uliposema ulikuwa na simu kweli au si kweli?
Shahidi wa kificho: nilikuwa na simu.
Mhe. Lissu: Nakuuliza kwenye maelezo yako sasa imeelezwa wapi?
Shahidi wa kificho: Hakuna humu.
Mhe. Lissu: Niko Gerezani miezi 10 kwa ushahidi wa aina hii. Umesema simu yako ulikuwa na account ya faceebook.
Shahidi wa kificho; Ni kweli.
Mhe. Lissu: Kwenye maelezo yako: yako wapi hayo maelezo? Kwamba wewe ulikuwa na account ya Facebook?
Anasimama Ajuaye anasema Mheshimiwa naomba mshitakiwa asitoe matusi kwa shahidi.
Lissu: Sijamtukana nimemuuliza ana akili timamu au hana.
Majaji tuendelee hakuna shida.
Lissu: Ulisema ulikuwa na bando la kutosha. Onyesha kwenye maelezo.
Shahidi: yapo hayo maneno.
Lissu: nauliza kwenye maelezo yako Polisi yapo?
Shahidi: yapo nafikiri.
Jaji: Shahidi unatuchanganya. Unaulizwa kuhusu hayo maelezo uliyonayo hapo. Useme kama yapo au hayapo.
Lissu: Ulipoulizwa juu yangu ulisema kwamba unamfahamu Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari na mitandaoni na mwanasiasa.
Shahidi: Kweli.
Lissu: onyesha kwenye maelezo yako hayo yako wapi maneno hayi.
Shahidi: Hapa hayapo.
Lissu: Ulisema Tundu Lissu alikuwa amesimama Jukwaani.
Shahidi: Kweli.
Lissu: yapo kwenye maelezo yako Polisi?
Shahidi: Hapa Hayapo.
Lissu: Umesema ulimuona akiwa amevaa magwanda ya kaki, tsheti nyeusi na bendera ya taifa?
Shahidi: ni kweli.
Lissu: hayo nayo yako wapi kwenye maelezo yako Polisi?
Shahidi: Hawa mapolisi hawakuandika na hayo sijui kwanini.
Lissu: Ulisema ulipanda daladala kwenda ubungo na kwenda kijiwe cha kahawa cha maskani?
Shahidi: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Je kwenye maelezo yako polisi na kwenda kijiwe cha Kahawa maskani? Hayo maneno yapo kwenye maelezo yako?
Shahidi wa kificho; ameunguruma hasikiki.
Mhe. Lissu: unasema?
Shahidi wa kificho: Kwa hapa sijaona.
Mhe. Lissu: Ulipofika kwenye kijiwe cha kahawa ulikuta mzozo juu ya video ya Tundu Lissu:
Shahidi wa kificho: Kweli
Mhe. Lissu: Yako wapi hayo nayo kwenye maelezo Polisi?
Shahidi wa kificho; Hapa haipo.
Part 164 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba repost yako.
NIMEFURAHI ๐ค๐น
Posti zote za Maandamano zipewe #REPOSTI DUNIA INATAKIWA KUONA
Jeshi la wananchi lipo na wa Tanzania ๐น๐ฟ
Hakuna uchaguzi hapa Tutaanza moja wananchi wameamua jambo lao