Umbwa is such an ambiguous and random word to express different feelings i.e- Unaeza kua umeshiba kama umbwa, umechoka kama umbwa, uko njaa kama umbwa, uko kutu kama umbwa.
Wewe bora tu umeongeza umbwa hapo mwisho kwa whatever you're feeling, tutajua ni serious kama umbwa.