Viongzi wa mashirika yatoayo huduma za msaada wa kisheria mkoa wa mbeya leo wamekutana katika ofisi za sdro kyela kujadili juu ya kuomba mradi wa pamoja utakaofanyika wilayani kyela
baada ya kufika eneo la tukio na kupata ushahidi kwa majirani tulitoa elimu kwa watu wote walio kuwepo kusikiliza kesi hiyo na baada ya elimu ndugu ailiyekua akitumia eneo la mwenzie ndani ya miaka 3 alikubali kuliludisha kwa nduguye ili kutengeneza amani
SDRO KYELA tumefanya maadhimisho ya wiki la msaada wa kisherika kata ya ipyana katika viwanja vya shule ya msingi mpanda ambapo tulitoa elimu pamoja na msaada wa kisheria
Wajumbe wa bodi ya sdro wakijadili taarifa ya mwaka 2019 pamoja na njia zitakazo tumika ktk kutoa elimu kwa jamii hususani katika kipindi hiki ambacho kinamlipuko wa ugonjwa wa corona
Watoa huduma za msaada wa kisheria toka wilaya zilizopo mkoani mbeya wakiwa katika eneo maalum lililotengwa kwaajili ya kutolea huda ya msaada wa kisheria katika kongamano la kutokomeza ukatili wa kijinsia