We are committed in rising community awareness on human rights without jeopardizing the principle of African culture.
#eva_mhagama (paralegal from @mbepac presenting women civilization at #rock_fm_radio as one of important approach in maintaining a peace and settled community.
Wajumbe wa bodi ya sdro wakijadili taarifa ya mwaka 2019 pamoja na njia zitakazo tumika ktk kutoa elimu kwa jamii hususani katika kipindi hiki ambacho kinamlipuko wa ugonjwa wa corona
WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA LEO AMEPOKEA MICHANGO KUTOKA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA UNGONJWA WA CORONA, KWENYE VIWANJA NYA OFISI YA WAZIRI MKUU, MLIMWA JIJINI DODOMA.
#KomeshaCorona#covid19#CSO
Happened @mbepac office on March 16 2019. It was fruitful joint discussion on legal and statutes compliance between TRA officials and @THRDCOALITION-members from southern region.
The hottest, impressed agenda was the role of CSO in tax billing.
#kodi_kwa_maendele#mission_started
Bwana BASHIRU, kumbuka SHAMBULIO mlilofanya kupitia ASKARI wa SEGEREA dhidi ya @halimamdee@esteramosbulaya@KishoaJesca na WANAWAKE wengine wa @ChademaTz ni UKATILI dhidi ya WANAWAKE yaani VIOLENCE AGAINST WOMEN na TUNALAANI vikali sana UHALIFU huo DHIDI ya BINADAMU...
Katika kongamano kutokomeza ukatili wa kijinsia Mwakilishi wa Mkuu wa mkoa katika kongamano la kutokomeza ukatili wa kijinsia Mhe. Paul Ntinika alipata nafasi ya kuwatembelea Vikundi na wajasiriamali waliojitokeza kuonyesha bidhaa na huduma zao. @wildaf1997@mbepac@UN4Youth