Mwamuzi Sifu Amon kutoka Mbeya ameendelea kuonyesha kuwa waamuzi wa Tanzania wanaweza kusimamia mechi kubwa kwa weledi.
114 Minutes
Azam FC 3️⃣➖2️⃣ Young African
Himid Mao ⚽
Dube ⚽
Lawi ⚽
Mwamnyeto ⚽
Kitambala ⚽
Sponsored by @Mwanjelwagrovet
Timu ya Taifa U17 Serengeti Boys wanatarajia kutua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo saa 5 asubuhi wakitokea Rabat, Morocco kwenye fainali za AFCON . Serengeti Boys wameandika historia kwa kufika fainali na kufuzu Kombe la Dunia Qatar 2026
SINGIDA Wanachapa Tu
FT Singida Big Star 1️⃣ ➖0️⃣ Namungo FC
⚽Mossi Nduwumwe
Kazi ipo Nafasi Nne za Juu ?
#sokaplaceupdates
Sponsored by @Mwanjelwagrovet
🏆 Muungano Cup
Yanga SC Watinga Fainali
Sasa wanasubiri mshindi kati ya Simba SC na Mlandege FC ili kujua mpinzani wao wa mwisho.
FT: Azam FC 1️⃣ ➖ 2️⃣ Young Africans SC
⚽ Dube
⚽ Max
⚽ Feisal
Fainali inasubiriwa kwa hamu kubwa
Hawa YANGA Hawa Wanacheza Pira
Objective 😆
HT Azam FC 0 ➖ 2 Young Africans SC
Dube ⚽
Max ⚽
🏆 Muungano Cup
#sokaplaceupdates
Sponsored by @Mwanjelwagrovet
🔥 Robo Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank
Coastal Union 🆚 Singida Black Stars
Simba SC 🆚 TRA United
JKT Tanzania 🆚 Yanga SC
Mashujaa FC 🆚 Azam FC