Kuna Kitu Uganda wanatuzidi sana Kwenye Timu Yao ya Taifa Hawana Pangua pangua ya Kikosi kama Sisi na Timu Yetu ya Taifa hatuelewi Nini tunataka Hasa Sisi Mashabiki wa Soka tunawapa wakati Mgumu Sana watawala wa Kandanda Hapa Nchini kwakua Kila mtu ni Kocha na Mchambuzi
Tukiwaambia CCM wana dharau muelewe, tuko kwenye ISSUE very serious halafu wao wanamleta huyu kubwabwajaโฆ Huyu muuaji, huyu mtekaji, huyu mwizi anayemiliki mali zisizoendana na kipato chake kama RC, huyu alimteka Roma, huyu anatakiwa atuambie Ben Saanane walimfukia wapi nk..
Kocha Abdelhak Benchikha ni Kocha wa Viwango Haswa Kama ataachiwa Uhuru kuanzia kwenye usajili na Mambo yote ya ufundi tutegemee kuona Makubwa sana pale Lunyasi.
Benchi la Ufundi la klabu ya Simba Limeshiba Haswa
โ๏ธKocha mkuu Abdelhak Benchikha
โ๏ธKocha msaidizi Farid Zemiti
โ๏ธKocha wa viungo Kamal Boudjenane
@BetikaTz
Viongozi wa Simba Acheni kuwapangia vikosi Makocha Wenu Robertinho ameondoka ila na Nyinyi mjitafakari zile tano zimesababisha na Viongozi kuingilia Benchi la Ufundi .
Licha ya Kuruhusu Magoli Simba ya Kocha Robertinho haijafungwa Mchezo hata mmoja katika mashindano yote msimu huu
Mchezo Ujao anakutana na Yanga Sc iliyofungwa na Ihefu
Kazi ipo Nani atalala ?
Mashabiki wa Yanga bado wanatamani kupata huduma ya Kiungo Fundi Mtanzania Fei Toto haya yote yameonekana jana Kijana akigusa tu Mpira majukwaani Kelele nyingi za kumzomea