#Neno.... ASKARI MWEMA HUVUMILIA. 2 Timotheo 2:1-7...Askari mwema huwa mvumilivu, anavumilia mateso, hajihusishi na mambo ya kawaida, ila analenga kufanya vyema ili amridhishe aliyemwajiri. Nawe vumilia, lenga kumfurahisha Mungu kuna tuzo. Tukutane Galilaya! #NurunaEvahMwalili