At Solomon Enterprises Limited, we are the driving force behind the agriculture and agribusiness industry. Focus on Meat from premium cuts of beef to poultry
@CantarianM Dodoma napata sana shida nikienda mjini, mji una barabara nyembamba sana parking za public hamna ukijichanganya kuweka tu pembeni unapigwa cheni, huu mji kama hawakuuwahi mapema utawashinda miaka ya mbele
Mchina haendi mahali kufanya hiyo biashara, hiyo ni cover.
Kanda ya ziwa waliku wanavizia vijiji vyenye Uchimbaji mdogo, guess what, now ndio wanunuzi wa dhahabu na kuwekeza pamoja na wachimbaji wadogo.
While vijana wetu wapo busy na maguruguru.