Ziara za Waziri Mkuu za kusikiliza na kutatua kero za wananchi zimeibua maswali kuhusu tija yake, huku wachambuzi wakionya kuwa hazina matokeo chanya ya kudumu kwa kuwa zinafanya kiongozi huyo kubeba majukumu ambayo kimsingi yanapaswa kutekelezwa na viongozi wa ngazi za chini.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu wakuu,nimesahau begi langu parking Kariakoo lililkuwa&M 9.5 nimeenda umbali mrefu nakumbuka nikiwa njiani.Nimerudi namkuta mlinzi amelihifadhi na halijafunguliwa pesa ziko kama zilivyo na simu mpya ya 500K.Huyu mlinzi nimemchapa 50K.Ameruka kama ndama.
In one year I dropped a album.. had a baby… then went straight into rehearsals for a whole month away from my kids… spent three months on tour… stacked endorsements… and launched a super successful hair business all while mothering four babies. I did all of that in one year!!!
So imagine what you could do in one year sister!! Get up and go get it! If this little 5’3 140-pound mama can do it so can you. There’s gold waiting at the end of that tunnel……. FUN FACT : I’m the most certified female rapper in Canada btw
Kwa hili tukaushie! Ingekua hivyo wasingeruhusu yaliyotokea. Acheni kutoa hopes kama betting companies! Call a spade a spade! SEMENI kwamba hawa watu they’re not coming BACK! Kuweni wakweli.
Wearing my tinfoil hat.
Those admins in Tanesco,NIDA,visit Ngorongoro,TBC online(and now TRC) IG pages wanafanyia kazi maelekezo ya consultant group moja hivi.
Tell you what,it will only work in offices that do deliver proper services.
Pasi na hivyo itazidi kasirisha umma.