Mdau ameeleza, “Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwa mfano wa kuonyesha jinsi sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, ndio wa kwanza kuzivunja.”
Nini maoni yako?
Shiriki mjadala https://t.co/gsJQQh49QD
#JamiiForums#JFMdau2026#Uwajibikaji
Video: unpopular_opinions_bymslendisa
Chande hakutoa huu ushahidi, na kadri mambo yalivyokuwa yakivurugika kwa mashahidi wa tukio kusema ukweli, maelekezo yakatolewa kwambamba wasitishe kuhoji watu, ili ajenda za kulipwa na picha za gaza zipate mashiko kwa mashahidi wa kificho.
"Nimeshasema hawa viongozi HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe". Father KITIMA anaendelea kupiga Panapouma.
SIKILIZA SHULE KUTOKA KWA PHD KITIMA.
REPOST 200
Ndiomaana wakatoliki wanaongoza kwa kutoa SADAKA ZA KUJIMALIZA.
Cheki FATHER KITIMA Alivyonyooka na KIBAKA wa ikulu mamaee, yani Father anapiga misumali mpaka unatamani jumapili ukatoe sadaka MILIONI 10.
ASANTE SANA FATHER NA HILI NDIO KANISA LA KWELI LA MUNGU.