Entry game💥💥The Giants way..GLT to the moon🔥🔥🔥@DizoFx@Giantfx_academy ;I am the product of these guys and am so proud of the changes am making on my Trading carrier #Kulachati
@YourFrenchFry Hahahaha jana tuu jamaa yangu kambiww na UTI sugu plus Malaria na akauziwa dawa..akakosa choo..akasema arudi kesho..Jamaa akaenda maabara nyingine hana malaria wala UTI,lkn alikua na Amoeba..tuu..!!jamaa ni wezi sana
@Jambotv_ Zimeunganishaje taifa na vijana kibao wapo mahabusu na viongozi wa chama kikuu cha upinzani taifa..this is shame for the country with hypocrite 4R's
@tzrailways TRC mnapaswa kuwa makin sna..maana mmeshapunguza abiria upande wa pili..hivo mkae makin kuhakikisha hakuna uhujunu wa miundo mbinu hii yenye uwekezaji mkubwa..changamoto zinaanza hata mwezi haujaisha..tafadhali ongezeni umakini..!!polen abiri kwa usumbufu mliopata
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Sasa nyie mtajifanya mmemnunulia..lkn fedha za kununua tutatoa sis wenyewe..hii dili lazima kuna mikono michafu nyuma inafanya kazi...
@MwanzoTvPlus@ccm_tanzania@SuluhuSamia Nchi yenye maajabu...hao wakandarasi kutwa kulia..mara hawapew tenda na serikali..mara hawalipwi kwa wakati...leo wanatoa helikopita kwa chama tawala...hii ni ulambaji wa viatu..uchawaclass katik fomu ya juu sana...wonders shall never end