Having money is just too sweet man wtf
You stop overthinking everything,
You’re not sacred of unexpected bills
You eat what you want and not what’s available
I pray me and all my bros Make a lot of money❤️
Being financially stable is enough for me. I don’t have to be the richest. I just want to always be able to eat what I want, go where I want, pay my bills on time, and give my family a great life.
Mimi nayo kama kuna kitu nimekuja ku learn ni ati you have no moral authority to advice someone on something you have never gone through, no matter how smart you think you are
Mwaka mmoja niliamua kuwa serious na maisha yangu.
Nilianza kupanga muda, nikapunguza marafiki, nikaacha mambo ya starehe.
Baada ya miezi michache nikaanza kuambiwa , Umebadilika sana, Unajifanya upo busy, Usiwe serious sana.
Nikajua sasa niko kwenye njia sahihi.
#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
Sio tu narusha maneno matupu mtandaoni, nazungumza from my personal life experience
Unaweza kusota na kusugua gaga hata miaka mitano; ila siku milango ikifunguka, miezi mitatu tu inatosha kuponya maumivu yote uliyopitia miaka mitano
Bro, bado tuna miezi minne tuimalize 2025🤲🏽