@JamiiForums Hamna aliyekatazwa kuhamia Ulaya...Bara la Africa ni bara la wazalendo na wapambanaji, tumelirithi bara la Africa kutoka kwa wakoloni likiwa halina hata barabara Moja ya lami sasa barabara za lami zipo Kila Kona kwa mfano #Tanzania Kila mkoa na wilaya zimeunganishwa na lami.
Hivi hizi hela @ChademaTZ2 huwa wanafanyia nini? Kwa mfano @TunduALissu alilipwa hela zake zote na serikali ya Dr Samia Suluhu Hassan lakini alishindwa kukarabati gari lake akachangisha watu hela na gari halikununuliwa huu ni #WIZI
Huku mnataka fidia huku mnahamasisha vurugu🚮🚮
@millardayo Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan
Mungu Akubariki sana, unaiwakilisha nchi yetu kizalendo haswa.
Ni kama vile Mama anavyohangaika ili watoto wake wale, wote tumesoma/fankiwa kwa chinikizo la mama
kupitia wewe Mheshimiwa Rais Mimi nasema, God bless all woman around the world 🌎
@ikulumawasliano Ni bahati Tz kuwa na Rais Dr. SSH. ambaye ni international figure, Rais ambaye sprit ya kazi ipo moyoni mwake, Rais ambaye ni mzalendo na visionary President, Rais ambaye anapoongea anaongea kwa manufaa ya Tz, Rais ambaye utendaji kazi wake una inspire Dunia nzima
God bless SSH
@SuluhuSamia Hongera sana Serengeti Boys, ni heshima kubwa kwa Taifa letu.
Pia
Pongezi kwako Mh. Rais kwa kuwekeza na kuhamasisha michezo nchini.
#KAZI_na_UTU_TUNASONGA_MBELE
@zittokabwe All in all our sovereignty is never being subordinated.
Hongereni sana @ACTwazalendo kwa uzalendo kwa Taifa letu.
Kama Taifa tusione haya kukifutia #usajili chama cha @ChademaTZ2 hiki chama ni uchafu, ni kibaraka wa mabeberu, ona mpaka wanateua beberu 👇🏼🚮🚮
2. Elimu itolewe pia kuhusu Report ya CAG.
- watu wanajua ikishasomwa tu lazima watu wachukuliwe hatua za kisheria siku hiyohyo kitu ambacho si kweli, Kila kitu nchini kinaongozwa kwa Mujibu wa Sheria na katiba, so Kila kitu lazima kiwe confirmed na Mahakama/vyombo vya Sheria.
Yafuatayo hapo chini yafaa Watz wakapewa elimu ya kina ili kuondoa Upotoshaji:
1. Utawala wa Sheria (rule of law):
- watu wengi hawajui kwamba licha ya ku-deal na mafisadi LAKINI lazima shutuma zipitie mkondo wa Sheria kwahyo si swala la siku Moja.
NB: IOGOPE HELA YA SERIKALI
@millardayo Shida ni kwamba watu wengi nchini bado hawajui dhana ya utawala wa sheria (rule of law), haya mambo yanaendeshwa kisheria.
Mimi nafatilia ziara za Mh. waziri mkuu, naona kabisa mafisadi wanashughulikiwa, tume zinaundwa chini ya TAKUKURU na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
@millardayo Shida ni kwamba watu wengi nchini bado hawajui dhana ya uongozi wa sheria (rule of law), haya mambo yanaendeshwa kisheria.
Mimi nafatilia ziara za Mh. waziri mkuu, naona kabisa mafisadi wanashughulikiwa, tume zinaundwa chini ya TAKUKURU na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
@kitengo@swahilitimes Sawa, ila ujue tu kuwa nishati ya mafuta ipo njiani kupotea kutokana na uharibifu wa mazingira, dunia kwasasa inaendeleza matumizi ya nishati mubadala.
Siku hzi tayar kuna magari ya gesi, umeme,
NB: kwa mtu anayejua kiswahili ni aibu kununua UNGA wa ugali ni aibu mno. LIMA AISEE