@_kingOFstreet Niliwahi nunua tenge nimpelekee Mama aloh lili tenge bhn ni transparent sana alafu linakakamaa sana yaani hata uweke kwa maji basi nikaogopa kumpa Mama,
Vilevile niliwahi nunua koti kubwa la ngozi refu kweli kumbe ndani imeandikwa for female