@RevocatusMagum1 Hiyo game haina hadhi ya derby. Rekebisha hapo. Simba imetia aibu na wala sio Derby skuhizi ni kama game na Jamush. Viongozi wameshiba mpaka kutembea hawawezi wanakutlea Mwangosi, Mgunda na Doumbia. Unaend na Nashon na kagoma kama middle. Kiufupi Yanga Bingwa mpaka achoke.!
@BracuszCadabra Tena nahisi ni michezo hii hii kwa wachezaji kibao tuliowakosa Pacome Yao Aziz ki. Wengi tu wana counter offer price range mule mule mnayojizungusha zungusha nayo
@RevocatusMagum1 Shida ya kwanza ya uongozi usiokua serious ni kukaa na mamluki na kuhisi watabadilika kuwa wema kila msimu. Ni dhairi shoti zote hizo ni ndani huko huko, kwahiyo kikubwa tuache tuone wanataka kufikisha wapi timu.
@RevocatusMagum1 Kaka, hizo sababu ni za kitoto sana. Ishu ni Pale kwa semfuko na Kwa Loemba. Team
Imefikia hatua Vedastus anapandisha timu mbele Semfuko na Kagoma wanaangaliana. Team inapiga back pass zisizo na ulazima. Yani Team kuanza Transition inapiga pass 40 Nyuma kwanza ndio iende mbele.
@BracuszCadabra@Maine38746516 Mim binafsi naamin jamaa ni vile ameanz na combination ya akina loemba tu, ila ni mzuri. Nataman angeanz na akin oura na Chama tuone uwez wake vizur sabab wachezaj wakufungua Defence wap ni rahis kuonesh Threat kwa mpinzan. Ila huyu Loemb unampa pass kwenye Boks anarud kwa Nashon