Tuna kazi kubwa kweli kubadalisha mentality kama hizi....a generation at least. Mtu anaweza kupigwa kama mbwa lakini swali la kwanza ni 'Ulifanya nini?'
VIDEO:
Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP) Eva Stesheni amewataka baadhi ya wanawake nchini hasa walioko kwenye ndoa kurudi kwenye maadili ya Kitanzania wakati wa mazungumzo na wenza wao ili kupunguza ukatili wa kijinsia unaoendelea kushamili kwenye jamii huku akitaja vyanzo vya matukio ya ukatili vinavyoongoza kuwa ni wivu wa mapenzi, ulevi na ushirikina
ACP Stesheni amesema baadhi ya wanawake wamekuwa wakikiuka misingi ya kimaadili ya Kitanzania nyakati za mazungumzo na familia zao huku akidai kutumia nguvu na lugha zisizo na staha ambazo hupelekea ugomvi, mitafaruku na malubano baina ya mke na mume
Ameyasema hayo jijini Dodoma wakati wa mdahalo uliohusu ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana mkoani Dodoma ulioandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AFNET na kufadhiliwa na Women Fund Tanzania Trust wenye kauli mbiu isemayo, 'ukomeshe ukatili, tujenge jamii salama'
young women have been denied the justice they deserve by these biases. The road ahead is long and hard but we must do the work to change our society's perception.
We truly have a lot of work in our hands to change our culture. For someone to watch a video of a young woman being raped and to justify it because they are a sex worker, is shocking to the senses. For that someone to be a woman and police officer, leaves me wondering how many
Watanzania mbalimbali waliokasirishwa na kukerwa na Kauli ya Kamanda wa Polisi Dodoma Theopista Mallya aliyeliambia gazeti la Mwananchi kuwa Binti aliyebakwa na Wanaume sita ni ‘kama alikuwa anajiuza’, wamepaza sauti zao na kutoa maoni mbalimbali huku baadhi yao wakipendekeza hatua za kuchukuliwa baada ya kauli hiyo. ✍️ @HecheJohn
Currently I am doing therapy with a tanzanian lady, face to face, for about 60k an hour. She's really good and happy to share her number to whoever needs it.
Currently I am doing therapy with a Kenyan lady (virtually) for about 2500 kes and she's amazing and I am able to receive help while not burning my pocket
Hey everyone. I'm currently looking for a content manager and Marketing & Comms Manager to join the Girl Effect Tanzania team. You can find more detail here - https://t.co/8qi7WANYAX
If the role interest you, please apply!
Rye Lane isn't about finding a soulmate. It's about finding someone whom you can be your full unabashed self with - whether it ends tomorrow or forever.
Congrats @RaineAM@vivianoparah@davidjonsson__
If you're explaining, you're losing.
If you have to explain the punchline - the joke doesn't work.
Creative concepts are like this also. If the ad requires an explanation to people who are familiar with the project, then it stands no chance with others.
Start over.