@DonboscoStephe1@UhamiajiTz 1.buluu. Hii ni pasipoti inayotumika na raia weng kwa ajili ya kusafir kimataifa
2.kijani kibichi. Inatolewa kwa watu walio katika huduma ya kidiplomasia, kama vile mabaloz na maafisa wa serikal
3.Nyekundu. Hii hutolewa kwa maafisa wa serikal wanaosafiri kwa ajili ya kazi rasmi